Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

bila kuondokana na unyonge wa kiuchumi,
gentleman utaendelea kua mfuata mkumbo mwenyewe fikra nonsense na mihemko useless kama ambavyo uko nayo sasa hivi, na itakua hivyo maisha yako yote, bila kua na kitu cha kukukomboa kiuchumi 🐒
Kabla hujawa mzoga ulifugwa kama nguruwe, uliyelishwa masalia ya chakula ya Samia Suluhu Hassan. Ulichobaki nacho sasa ni huo mvundo tu wa harufu kali, huku mapaka na mbwa wa mitaani wakishambulia mzoga wako.
Siku siyo nyingi yote haya tutayaacha nyuma kama taifa lenye heshima tena miongoni mwa mataifa mengine.
 
Rabaika ni taarifa ya faraja kwa wale waliopoteza watoto wao
 
Ni kweli kwamba Mataifa ya kigeni yanaweza kusaidia kutokomeza udhalimu Nchini, lakini ukweli ni kwamba, Ukombozi kamili wa Nchi hii au Nchi yoyote ile utaletwa na Wananchi wenyewe kwa KUJITOA SADAKA BILA KUJIBAKIZA.

Mfano, wanapatikana watu hata angalau 500,000 hivi Nchi nzima, wakasema kwa kumaanisha haswa kwamba "sisi tupo tayari kufa iwe hadharani au si hadharani kwa ajili ya Taifa letu". Wakaorodhesha majina yao na kuyapeleka kwenye Taasisi, Asasi, Mashirika na Jumuiya zote za kitaifa na kimataifa, wakaeleza lengo lao kuu kwamba, ifikapo tarehe fulani sisi tutakuwa tayari kwa lolote lile kama Haki haitakuwa imepatikana. Na wakawa kitu kimoja mwanzo mpaka mwisho, tena wasibebe hata jiwe wala wasilete fujo yoyote, lakini kwa Umoja tu huo unadhani mambo hayatabadilika?
Mimi naamini mambo yatabadilika ghafla na Haki itapatikana.
Na akipotea hata mmoja tu kati yao, itaeleweka tu kwa sababu majina yao yote yatakuwa Duniani kote.
 
Watz ni watu wa mizaha
 
unaheshimika kweli hata kwa wadogo zako nyumbani au hua unaficha hizi fikra zako nonsense hivi gentleman? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…