Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Sep 27, 2020 #101 Kwaherini ccm, nanyi mkawe wapinzani wema
Trillion JF-Expert Member Joined Apr 24, 2018 Posts 3,330 Reaction score 7,494 Sep 27, 2020 #102 #Niyeye Lissu ni Rais wetu wa awamu ya6. βπ½βπ½βπ½βπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½
#Niyeye Lissu ni Rais wetu wa awamu ya6. βπ½βπ½βπ½βπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½
Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,137 Reaction score 2,233 Sep 27, 2020 #103 Hilo nyomi hakuna cha Zuchu wala Diamond. Sanduku la kura likitoa matokeo chanya bila kuchakachuliwa ,mbona Mkulu anaenda kupumzika Chato.
Hilo nyomi hakuna cha Zuchu wala Diamond. Sanduku la kura likitoa matokeo chanya bila kuchakachuliwa ,mbona Mkulu anaenda kupumzika Chato.
KAYAFA MKUU JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 242 Reaction score 297 Sep 27, 2020 #104 Pohamba said: Utakumbuka kuwa Tume si huru baada ya matokeo Click to expand... Hilo nalijua hata kabla ya uchaguzi. Lakini zama zinabadilika. Tusiendelee kuishi kwa mazoea,maana hata hao wanaoibaga kura mwaka huu wana jambo lao.
Pohamba said: Utakumbuka kuwa Tume si huru baada ya matokeo Click to expand... Hilo nalijua hata kabla ya uchaguzi. Lakini zama zinabadilika. Tusiendelee kuishi kwa mazoea,maana hata hao wanaoibaga kura mwaka huu wana jambo lao.