Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Hakuna Vijana wa Ulinzi wanaoitwa Red Brigade katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo. (CHADEMA)
 
Tehetehe eti kishindo
Waalike waje kuwaaga,mwakani chama kikuu cha upinzani ni ACT.Sio mimi ni hesabu tu

Acha ACT, hata TLP likiwa chama kikuu cha upinzani hatujali,maana hatuna shaka na kukubalika kwa cdm.
 
Sorry Kawe alumni, HV Msomi Mbunge wa Ndanda ndg yetu Mwambe alihutubia ile tar 10 km ulivyotangaza? Nilikuwa shambani with data! Tell me man!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Mwambe ameamua kufuata taratibu za chama.Anatakiwa asubiri uteuzi ndani ya chama siku ya Jumanne
 
Hahahaaaa......hahahaaaaa......hahahaaaaa.........!

Ruzuku ya CCM imeongezeka kutoka sh 12 bilioni mwaka 2015/16 hadi sh 13 bilioni mwaka 2018/19.....Unajua ni kwanini?

Maendeleo hayana vyama!
Na CDM kimeongeza wanachama kutoka milioni 4 hadi 6 kwa kipindi cha miaka minne
 
Huku vijijini shughuli zote zitasimama
Amima.Kwa masaa mawili kusikiliza Hotuba ya Mwenyekiti wa chama chenye wanachama milioni 6 ni kitu kizuri sana
 
Ndio maana chadema hii itaendelea kuwa chama cha upinzani dhidi ya chama chenye hatamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…