PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
397
Reaction score
445
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”

IMG-20250406-WA0001.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250406-WA0003.jpg
    IMG-20250406-WA0003.jpg
    96.6 KB · Views: 40
  • IMG-20250406-WA0002.jpg
    IMG-20250406-WA0002.jpg
    85 KB · Views: 33
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
 
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Hivi hawana kazi nyingine za kufanya?.
 
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”

kwani ni nani huyu mmama c ni sawa namimi nikisema no reform no election
 
Sawa mama kafulila
 
ccm wasijifiche kwenye kichaka cha polisi,wasitake kutumia jeshiletu vibaya
 
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”

Majitu yanajikoboa mpaka chukizo!
 
Ndio kashahamia au anasubiri mapokezi

?

Ndio kashahamia au anasubiri mapokezi, amemtelekeza tumbili
 
Huu ndio ukweli.
 
Huyu bado tu kutambulishwa rasmi ndani ya ccm. Amesoma alama za nyakati na kugundua hakuna maisha mazuri kwa mamluki ndani ya hii CHADEMA ya Lissu. Hivyo ameona afuate njia ile ile aliyoitumia bwana wake David Kafulila.
 
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”

huyu dada anaweza hata kumshinda Lisu kwa kishindo ikiwa lisu atagombea UBUNGE huko singida 🐒
 
NACHUKIA SANA WATU KUONA AU KUDHANI CHADEMA ETI ITAWEZA KUZUIA UCHAGUZI, WHY PEOPLES WASTE TIME FOR STUPIDITY CHADEMA USELESS SLOGAN? /
 
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”

Hakuna watu wapumbavu,maskini,na wasio jitambua kama watanzania .Any man can make mistakes, but only an idiot persists in his error
 
Vita vya wenyewe kwa wenyewe vinanukia.
 
Back
Top Bottom