BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 397
- 445
Hivi hawana kazi nyingine za kufanya?.Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
kwani ni nani huyu mmama c ni sawa namimi nikisema no reform no electionMbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Sawa mama kafulilaMbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
ccm wasijifiche kwenye kichaka cha polisi,wasitake kutumia jeshiletu vibayaMbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Majitu yanajikoboa mpaka chukizo!Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
?Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Ndio kashahamia au anasubiri mapokezi, amemtelekeza tumbiliMbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Huu ndio ukweli.Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
huyu dada anaweza hata kumshinda Lisu kwa kishindo ikiwa lisu atagombea UBUNGE huko singida 🐒Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mwanga iliyopo wilaya ya Mkalama Mkoani Singida,ambapo amesema kwa jeshi lililopo la ulinzi na usalama hakuna wa kuzuia uchaguzi kwani limejipanga kikamilifu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa jeshi hili lililopo hapa la ulinzi na usalama kuna mtu atazuia uchaguzi huu?jeshi limejipanga na liko imara, nawashukuru sana viongozi wa jeshi la Polisi”
Hakuna watu wapumbavu,maskini,na wasio jitambua kama watanzania .Any man can make mistakes, but only an idiot persists in his errorMbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.