Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
Hao ni vijana?Mbona mimi mawaona wazee?
Namba moja na tano na nne ni kweli.1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
2. Yule jamaa anatembea na Prado ni Freemason
3. Mganga anayetoa utajiri.
4. Mademu wanapenda sana hela.
5. Ccm inazingua sana, mafisadi kila kona
Hakika bosssss....1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
2. Yule jamaa anatembea na Prado ni Freemason
3. Mganga anayetoa utajiri.
4. Mademu wanapenda sana hela.
5. Ccm inazingua sana, mafisadi kila kona
5 nawaunga mkono 100%1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
2. Yule jamaa anatembea na Prado ni Freemason
3. Mganga anayetoa utajiri.
4. Mademu wanapenda sana hela.
5. Ccm inazingua sana, mafisadi kila kona
Hiyo namba tano toa. Hamna mtu wakuzungumzia siasa hapo.1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
2. Yule jamaa anatembea na Prado ni Freemason
3. Mganga anayetoa utajiri.
4. Mademu wanapenda sana hela.
5. Ccm inazingua sana, mafisadi kila kona
HahahaHiyo namba tano toa. Hamna mtu wakuzungumzia siasa hapo.
Labda wamuongelee zuchu tu.
5: "wazee najua mwajuma kafumaaniwa "1. Ngono na mapenzi
2. Mpira
3. Kutoboa kimaisha kwa risks au entertainment lakini pia kushare hustles zao na story za wanapopigia mishe
4. Maisha ya watu maarufu na story za watu wa mtaani
5. Utani utani wa kuvunja mbavu