Kisia stori tano ambazo vijana hawa kwenye picha hii lazima wazigusie

Kisia stori tano ambazo vijana hawa kwenye picha hii lazima wazigusie

1. Yule demu Queen? Mbona tayari nimepiga pale
2.Umeskia ngoma mpya ya Rayvany?
3. Leo Real madrid kwa Valencia atatoka kweli? Nimeweka madrid ashinde
4. Cheki hiyo pisi inayokuja anakaa wapi huyo?
5. Tupac yuko hai hajafa kuna sehemu alienda kuishi ameamua kuishi kwa kujificha maana alikua anawindwa sana
6. Hii kiatu niliyovaa naweza kukulisha wewe na familia yako mwezi mzima
 
Back
Top Bottom