Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni moshi arusha utasikia masaweee ile krismasi alipita na lombo jini , tulienda kwake tukalewa pombe gari zima mzeee1. mpira
2. wadada
3. hela rahisi(kubet nk)
4. maisha ya kifahari
Hiyo inaingia namba nne kwenye story na vituko vya mtaa. Hapo utajua mtaa mzima kimetokea nini kwa details5: "wazee najua mwajuma kafumaaniwa "
Hapo story Kuu , Diamond na Ali kibao nani tajiri1. Ukizama mamtoni unatoboa Maisha
2. Yule jamaa anatembea na Prado ni Freemason
3. Mganga anayetoa utajiri.
4. Mademu wanapenda sana hela.
5. Ccm inazingua sana, mafisadi kila kona
Hiyo inaingia namba nne kwenye story na vituko vya mtaa. Hapo utajua mtaa mzima kimetokea nini kwa details
Utani ni ile, kuitana majina ya kipuuzi au kumtengenezea story ya uongo na kweli ili mradi mtu achekwe.. Sometimes kutambiana kwa hiyo ukiwa na roho ndogo unakaa pembeni
1.mkongo
Swadakta, utasikia Ile ngoma ya Diamond,Zombie kakopiHahahhah, mara ooh "kanumba aliuliwa na firimasonii"
Sema moshi arusha wana stories flani za kibabe sana , utasikia kuna ile chuma ya milioni mia tatu halafu ni dogo anaendesha hata miaka 25 hajafika arifuuu 😆....Hadi nilizima bablaiii, nikaamkia supu asubuhi
HahahahhaSema moshi arusha wana stories flani za kibabe sana , utasikia kuna ile chuma ya milioni mia tatu halafu ni dogo anaendesha hata miaka 25 hajafika arifuuu 😆
Kuzamia sauzi hii ni kwa vijana wa zamani kidogo😆1. Kuzamia Sauzi
2.kubeti
3. Mademu
4.singeli
5.Bange na vilevi vingine.
Kwa hiyo siku hizi hakuna mabaharia tena?Kuzamia sauzi hii ni kwa vijana wa zamani kidogo😆
Vijana wa siku hiz ni laini laini tu hawana udhubutu huo.Kwa hiyo siku hizi hakuna mabaharia tena?