Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Huyo lawyer Ruttashobolwa sina imani nae
Labda tuende kwa MwanajamiiOne au FirstLady1 na labda @MR.Rocky, afrodenzi nina imani nae pia
Huyo lawyer Ruttashobolwa sina imani nae
Huyo lawyer Ruttashobolwa sina imani nae
Labda tuende kwa MwanajamiiOneone au FirstLady1 na labda @MR.Rocky, afrodenzi nina imani nae pia
Kule kuna Mwita Maranya, Ritz MWANAKIjiji na mary mary, ila AshaDii amepewa tenda nyingiMh!
Hao wataweza kweli mtiti huu.
Ok, kwani huko Siasani kwenu hakuna wanasheria bhana?
Kule kuna Mwita Maranya, Ritz MWANAKIjiji na mary mary, ila AshaDii amepewa tenda nyingi
By,the way leo nitaelekea kwenye kiakao sweetie!
Mkongomani wetu kwanza pole!
Pili tulikuasa mapema kwenye kopo inayokuzalilisha, ukatia pamba visikilizio.
Hata huyo Ben ndiyo amejiona kafika ?
Au kapanda mtumbwi uliotoboka?
Mkongomani wetu kwanza pole!
Pili tulikuasa mapema kwenye kopo inayokuzalilisha, ukatia pamba visikilizio.
Hata huyo Ben ndiyo amejiona kafika ?
Au kapanda mtumbwi uliotoboka?
Mh!
Hao wanasheria wako kiboko.
Wataua mtu akipita kwenye anga zao.
Ok,nilikisikia kile kikao chenu.
Mie nitakuja baadae Mpenzi, ngoja kwanza nikakupikie Ndizi-nyama na Spinach.
Ule mpenzi wangu,unenepe.
Mh!
Hao wanasheria wako kiboko.
Wataua mtu akipita kwenye anga zao.
Ok,nilikisikia kile kikao chenu.
Mie nitakuja baadae Mpenzi, ngoja kwanza nikakupikie Ndizi-nyama na Spinach.
Ule mpenzi wangu,unenepe.
Mkongomani wetu kwanza pole!
Pili tulikuasa mapema kwenye kopo inayokuzalilisha, ukatia pamba visikilizio.
Hata huyo Ben ndiyo amejiona kafika ?
Au kapanda mtumbwi uliotoboka?
Ben Saanane ana hangaika bure hapa hakuna ndoa kabisa! Hakuna atakaye kubali kuingia huu mkenge!
Japo si husiki sana kwenye hili hila Chimbuvu ndio ana tambulika kama mumeo wa ndoa hivyo anatakiwa ukutaliki kwanza ndio ufunge mpya!
Ben Saanane angalia usiingizwe kijijini!
Mwambie wewe, mi natamani nimbutue tu, zamu yake kulia njegele huyu.., alinitukana mimi na kamati zote kipindi kile, didn't know that she was a schemer.....!!!
Kweli Chimbuvu sio kirahisi aisee
Tena namuomba Arabela atuangalizie MziziMkavu wa Tanga km ana nafasi hata ikibidi twende tukam modify maumbile.