Hata wakinywa Pepsi wanaongeza sukari nyingiKatika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.
Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Hata hapo Tanzania hivi sasa kuna wagonjwa wengi wa kisukariKatika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.
Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Kisukari Ni janga Maeneo yaliyo mengi tu lo!
Acheni sababu za kuunga, kwa 70% Kisukari ni ugonjwa wa kurithi. Nafikiri Unaweza kujua mira za waarabu huwa hawaoi mbali na familia.Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.
Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
NDIO ChanzoInasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
HUU NI UONGOkwa 70% Kisukari ni ugonjwa wa kurithi.
Inawezekana ni uongo, nakushauri fanya research kwangu nimeacha 30% sababu za kimazingira. Nakushauri uliza wagonjwa 10 wa Kisukari wakuambie familiy history ya uwepo wa wagonjwa ktk familia zao halafu njoo na jibu.HUU NI UONGO
Ila waarabu kwenye kula hawana mpinzani wale jamaa wanakula misinia aisee noma sanaKatika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.
Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Sawà Mkuu,Inawezekana ni uongo, nakushauri fanya research kwangu nimeacha 30% sababu za kimazingira. Nakushauri uliza wagonjwa 10 wa Kisukari wakuambie familiy history ya uwepo wa wagonjwa ktk familia zao halafu njoo na jibu.