kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
Wewe nakupata vizuri kiswahili safi
tangu id ilee ya @hbuyosh
huyo Iconoclastes (hbuyosh) wakati fulani mwaka 2014 alikuwa anatukejeli sana watz hapa jf na kingereza chake cha kikenya.
so siku moja Mimi na mkuu geza ulole tukapanga mkakati mzito wa kumfanyia cyber intelligence and information gathering ili tumfahamu vizuri.
nikamwambia Geza niachie kazi.
hatimaye nikapata ID yake fulani hivi katika mtandao mmoja maarufu wa kijamii.
kwa muonekano wake katika picha,nikagundua he is an innocent lonely guy ,kama tunge mu-expose hapa, tungemuonea.
Mpaka hii leo sijamwambia geza ulole kuwa iconoclastes ni mtu fulani.
ila siku hizi kidogo amestaarabika.hana zile tabia za ujinga za vijana wa kikenya za kujafanya wanajua kila kitu kumbe hawajui.