Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Kutoka mjini hadi airport ni kilonita 10....ni njia nne ila kuna mahali kutokana na barabara za michepuko inakuwa njia sita, japo baadaye inakuwa njia nne tena... Kuna hii pia inayotoka mjini kuelekea musoma ina njia tatu yenyewe ni kama kilomita 8...zingine zilizobaki nyingi ni michepuko yenye barabara mbili.....japo kuna dual carriage inajengwa kuelekea huko usagara...14.5 + 1km ya east africa + 1 kona nairobi jumala ni 16.5 okay mwanza je
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,Yeah ila bridge unajenga kwa kwa span life ya 100 years ivo sehemu ya daraja lazima iwe pana ila haimanishi Barbara mlisho lazima ziwe dual carriage mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay if ur sure nioneshe source boss ili na mm nkafungue topic skyscrapers maana io 10km sijaona mahali broNdio maana nikasema ambacho nina uhakika nacho ni zile 10+km kigongo - usagara kwani tayari wenye nyumba kando kando washapewa Chao kupisha, sijaona logic kama zitaishia usagara zisiende town
Mbeya au mwanzaleta izo km na mm ntakuletea km afu sijakuuliza barabara hapana hapa naongelea road furniture za barabara ya airport iliyopanuliwa na pia arusha taa zipo nyingi mnoo ilatatizo haziwaki na hajanijibu io dual carriage ya mbeya ina junction ngapi zenye traffic light mbona simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hii ya njia 6 sio 8 km haifiki 4km nlishapita huko mkuu n nzury ila haifikia NNE hata mwenzio kasema n NNE nikamuuliza source yaa kuverfy kashindwa kunipa afu io uc au itakayojengwa nipe link mkuu nikasome maana mm enyewe natamani iwepoKutoka mjini hadi airport ni kilonita 10....ni njia nne ila kuna mahali kutokana na barabara za michepuko inakuwa njia sita, japo baadaye inakuwa njia nne tena... Kuna hii pia inayotoka mjini kuelekea musoma ina njia tatu yenyewe ni kama kilomita 8...zingine zilizobaki nyingi ni michepuko yenye barabara mbili.....japo kuna dual carriage inajengwa kuelekea huko usagara...
Wana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakujaNiliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,
Wasifananishe Chuga na vitu vya ajabuWana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa but shida ni moja, Mwanza hawajengi moja, wanajenga mbili at once, pia na maegesho ya magari na soko kuu jipya modern one, hope umeshaona design youtube mkuu, na kama ni stendi ya 10 billions tu, tisitarajie kitu konki sanaWana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatudili na mihemko
Kuna wageni fulani kutoka Canada nilikutana nao pale mwanza hotel...katika maongezi yetu wakaniambia hawakulala pale bali hoteli fulani ya hadhi huko kuelekea airport...Wakasema mwenyeji wao aliwapeleka huko coz walimwambia wanataka hoteli nzuri zaidi... Nikawauliza vipi kuhusu huduma,chakula,location... Wakaniambia chakula kizuri na hivyo vingine ni excellent.... Ila wakaniambia kama nina tight budget nisiende huko... Walinipa mwanga fulani nami sikukuu moja nikaenda huko... Ni pazuri aiseee... Ile beach ni best kwangu kuwahi kuiona... Hata restaurants zao nzuri sana halafu zipo nyingi.... Nitakuja niende angalau nispend usiku mmoja...Japo kutoa juu ya dola 100 kwa bongo usiku mmoja naonaga tabu kweli...Labda nje...Wewe ni zaidi...
Halafu usichokijua ni kuwa the hotel was upgraded...25 hotels in Mwanza, Tanzania.
Great savings on hotels in Mwanza, Tanzania online. Good availability and great rates. Read hotel reviews and choose the best hotel deal for your stay.www.booking.com
Tuyaache haya....
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio kuna nyegezi na kuna ilemela nimeona pia soko kuu ila maegesho ya magari hapana io sijaona na kama hiko naweza ona ila swali hujaanijibu kuhusu izo 10km za usagaraShida ni moja, Mwanza hawajengi moja, wanajenga mbili at once, pia na maegesho ya magari na soko kuu jipya modern one, hope umeshaona design youtube mkuu
Sawa.....kwenye hiyo barabara taa zile za barabarani za kuongozea magari ni sehemu mbili;kona ya bwiru na pasiansi.... Ila zile taa za kuongozea watu kwenye vivuko zipo sehemu nne.
Maegesho ya magari nyamhongoro...ndo wanajenga sahivi...ndio kuna nyegezi na kuna ilemela nimeona pia soko kuu ila maegesho ya magari hapana io sijaona na kama hiko naweza ona ila swali hujaanijibu kuhusu izo 10km za usagara
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hiindio kuna nyegezi na kuna ilemela nimeona pia soko kuu ila maegesho ya magari hapana io sijaona na kama hiko naweza ona ila swali hujaanijibu kuhusu izo 10km za usagara
Sent using Jamii Forums mobile app
Spend kama unazo....Kuna wageni fulani kutoka Canada nilikutana nao pale mwanza hotel...katika maongezi yetu wakaniambia hawakulala pale bali hoteli fulani ya hadhi huko kuelekea airport...Wakasema mwenyeji wao aliwapeleka huko coz walimwambia wanataka hoteli nzuri zaidi... Nikawauliza vipi kuhusu huduma,chakula,location... Wakaniambia chakula kizuri na hivyo vingine ni excellent.... Ila wakaniambia kama nina tight budget nisiende huko... Walinipa mwanga fulani nami sikukuu moja nikaenda huko... Ni pazuri aiseee... Ile beach ni best kwangu kuwahi kuiona... Hata restaurants zao nzuri sana halafu zipo nyingi.... Nitakuja niende angalau nispend usiku mmoja...Japo kutoa juu ya dola 100 kwa bongo usiku mmoja naonaga tabu kweli...Labda nje...
arusha zipo nneSawa.....kwenye hiyo barabara taa zile za barabarani za kuongozea magari ni sehemu mbili;kona ya bwiru na pasiansi.... Ila zile taa za kuongozea watu kwenye vivuko zipo sehemu nne.
ngoja ntafatilia ila hii sijasikia mahaliMaegesho ya magari nyamhongoro...ndo wanajenga sahivi...
Kuna hiyo link jaribu kama itafunguka au ukaangalie nilikoitoandio kuna nyegezi na kuna ilemela nimeona pia soko kuu ila maegesho ya magari hapana io sijaona na kama hiko naweza ona ila swali hujaanijibu kuhusu izo 10km za usagara
Sent using Jamii Forums mobile app
dah boss ayo ni maneno ya watu namaanisha link zinazoeleweka za hiyo 10kms