Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

14.5 + 1km ya east africa + 1 kona nairobi jumala ni 16.5 okay mwanza je

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka mjini hadi airport ni kilonita 10....ni njia nne ila kuna mahali kutokana na barabara za michepuko inakuwa njia sita, japo baadaye inakuwa njia nne tena... Kuna hii pia inayotoka mjini kuelekea musoma ina njia tatu yenyewe ni kama kilomita 8...zingine zilizobaki nyingi ni michepuko yenye barabara mbili.....japo kuna dual carriage inajengwa kuelekea huko usagara...
 
Yeah ila bridge unajenga kwa kwa span life ya 100 years ivo sehemu ya daraja lazima iwe pana ila haimanishi Barbara mlisho lazima ziwe dual carriage mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,
 
Kutoka mjini hadi airport ni kilonita 10....ni njia nne ila kuna mahali kutokana na barabara za michepuko inakuwa njia sita, japo baadaye inakuwa njia nne tena... Kuna hii pia inayotoka mjini kuelekea musoma ina njia tatu yenyewe ni kama kilomita 8...zingine zilizobaki nyingi ni michepuko yenye barabara mbili.....japo kuna dual carriage inajengwa kuelekea huko usagara...
Hapana hii ya njia 6 sio 8 km haifiki 4km nlishapita huko mkuu n nzury ila haifikia NNE hata mwenzio kasema n NNE nikamuuliza source yaa kuverfy kashindwa kunipa afu io uc au itakayojengwa nipe link mkuu nikasome maana mm enyewe natamani iwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliuliza humu lakini bado sijajibiwa kuhusu stendi ya mabasi arusha kama bado iko pale pale town au kuna mpya? Maana kwa Mwanza tayari kuna ujenzi tena wa stendi mbili mpya za kisasa kabisa ziko underconstruction,
Wana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakuja

Wasifananishe Chuga na vitu vya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana 10+ bilioni za kujenga stendi ya oljoro japo hawajaanza na pia kuna kitu nikueleze kuchelewa kwa arusha kujenga stendi ujue n disadvantage kwa mwanza maana wakijaakujenga itakua more technology kuliko inayojengwa now na kila siku construction industry kuna kitu kipya kinakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa but shida ni moja, Mwanza hawajengi moja, wanajenga mbili at once, pia na maegesho ya magari na soko kuu jipya modern one, hope umeshaona design youtube mkuu, na kama ni stendi ya 10 billions tu, tisitarajie kitu konki sana
 
Wewe ni zaidi...
Halafu usichokijua ni kuwa the hotel was upgraded...

Tuyaache haya....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wageni fulani kutoka Canada nilikutana nao pale mwanza hotel...katika maongezi yetu wakaniambia hawakulala pale bali hoteli fulani ya hadhi huko kuelekea airport...Wakasema mwenyeji wao aliwapeleka huko coz walimwambia wanataka hoteli nzuri zaidi... Nikawauliza vipi kuhusu huduma,chakula,location... Wakaniambia chakula kizuri na hivyo vingine ni excellent.... Ila wakaniambia kama nina tight budget nisiende huko... Walinipa mwanga fulani nami sikukuu moja nikaenda huko... Ni pazuri aiseee... Ile beach ni best kwangu kuwahi kuiona... Hata restaurants zao nzuri sana halafu zipo nyingi.... Nitakuja niende angalau nispend usiku mmoja...Japo kutoa juu ya dola 100 kwa bongo usiku mmoja naonaga tabu kweli...Labda nje...
 
Shida ni moja, Mwanza hawajengi moja, wanajenga mbili at once, pia na maegesho ya magari na soko kuu jipya modern one, hope umeshaona design youtube mkuu
ndio kuna nyegezi na kuna ilemela nimeona pia soko kuu ila maegesho ya magari hapana io sijaona na kama hiko naweza ona ila swali hujaanijibu kuhusu izo 10km za usagara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2020-01-10-23-25-16.png

Cheki hii
Screenshot_2020-01-10-23-25-16.png
Screenshot_2020-01-10-23-26-02.png
 
Kuna wageni fulani kutoka Canada nilikutana nao pale mwanza hotel...katika maongezi yetu wakaniambia hawakulala pale bali hoteli fulani ya hadhi huko kuelekea airport...Wakasema mwenyeji wao aliwapeleka huko coz walimwambia wanataka hoteli nzuri zaidi... Nikawauliza vipi kuhusu huduma,chakula,location... Wakaniambia chakula kizuri na hivyo vingine ni excellent.... Ila wakaniambia kama nina tight budget nisiende huko... Walinipa mwanga fulani nami sikukuu moja nikaenda huko... Ni pazuri aiseee... Ile beach ni best kwangu kuwahi kuiona... Hata restaurants zao nzuri sana halafu zipo nyingi.... Nitakuja niende angalau nispend usiku mmoja...Japo kutoa juu ya dola 100 kwa bongo usiku mmoja naonaga tabu kweli...Labda nje...
Spend kama unazo....
Ila Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone...
 
Back
Top Bottom