Kuna wageni fulani kutoka Canada nilikutana nao pale mwanza hotel...katika maongezi yetu wakaniambia hawakulala pale bali hoteli fulani ya hadhi huko kuelekea airport...Wakasema mwenyeji wao aliwapeleka huko coz walimwambia wanataka hoteli nzuri zaidi... Nikawauliza vipi kuhusu huduma,chakula,location... Wakaniambia chakula kizuri na hivyo vingine ni excellent.... Ila wakaniambia kama nina tight budget nisiende huko... Walinipa mwanga fulani nami sikukuu moja nikaenda huko... Ni pazuri aiseee... Ile beach ni best kwangu kuwahi kuiona... Hata restaurants zao nzuri sana halafu zipo nyingi.... Nitakuja niende angalau nispend usiku mmoja...Japo kutoa juu ya dola 100 kwa bongo usiku mmoja naonaga tabu kweli...Labda nje...