Kisumu vs Mwanza

Mzee wa Tamale Airport upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wale wanaoiita mbeya city tuwaiteje[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Unaruka ruka nini sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe hzo za sasa...
Halafu hzo unazoongelea zinapatikana hapo hapo mjini au unamaanisha barabara zile zinazounganisha miji(highways)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ile siku ulisema hostels maana yake ni nyumba zilizofanana...
Yani nilicheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliziacha google hko, ukaamua kuchukua ambazo zitawafurisha vinwengo wenzio..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 2004 kisumu ilikuwa na watu laki 5 halafu 60 percent ya population yake wanaishi kwenye slums, vipi kuhusu sasa hivi ambapo population ya wakazi imeongezeka zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo si population ya wanaoishi kwenye slums imeongezeka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…