Kisumu vs Mwanza

Luxembourg imepakana na chanzo gani cha maji hadi wawe na water vessels?

My point is these nonsense of vessels you keep yapping about does not make anywhere on this planet any developed.
 
We share the same lake... Kwan nn mna vyombo vichache vyenye kutu mnazidiwa hadi na waganda?
naona you share same lakes and share the same amount of stupidity like your bum soldier Giza ulole
 
Map of Mwanza city hiyo hapo, nitajie ward ambayo haina planning uje na evidence ya images otherwise usituaminishe unachoamini with no proofs.
 
Map of kisumu city hiyo hapo tafuta popote images za manyatta, Nyalenda, and obunga na Kondole na Nyamasaria na baada ya hapo stop living under poor beliefs
 
Kisumu ina slums nyingi kuliko hata zilizopo Nairobi, em nihesabie idadi yake πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…