Kisumu vs Mwanza


Lakini mkuu, watanzania most of them wanaroho yakipekee kwa east afrika. Kwingine sijui.
 
ata hii thread inge faa kubadilishwa from Kisumu vs Mwanza........
to 'kenya vs tanzania cities, outside of Dar and Nairobi'
 
tukiambikizana tu cha ukweli na bila kua na ubaguzi .... jiji gani zaidi kati ya mwanza na nakuru.. mimi niki fanya fair judgement bila mapendeleo wowote ule, nta sema nakuru. je wewe?
Unapoteza nguvu bure,Mwanza is just second kwa umaskini Tzn behind Shinyanga nothing else.

Hiyo Nakuru ishindane na Arusha
 
Kericho is awesome just like amazing Njombe Town
 
Unapoteza nguvu bure,Mwanza is just second kwa umaskini Tzn behind Shinyanga nothing else.

Hiyo Nakuru ishindane na Arusha
Ukitaka kunya..kunya tu,ukitaka kufa ..kufa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mwanza is second best and second largest city in Tanzania and cheapest life city in east africa kama inakuuma au unakeleka sema tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚utakuja kufa bure.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…