Kisumu vs Mwanza

Mbona vipicha na vigorofa ni vilevile kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndo maana tukawachia Moshi,iringa na Arusha ndo saizi yenu.Tulijaribu kufunguka kidogo mkalete Mombasa nayo ni old town.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
huyu senge anaona zake, amelaaniwa na migorofa na vyumba.. teargas alikua ana try ku highlight usafi, beautification na mandhari ya kisumu city streets. na mashetani zake zinamuelekeza kwingine.. ishindwe riswa!.
 
huyu senge anaona zake, amelaaniwa na migorofa na vyumba.. teargas alikua ana try ku highlight usafi na beautification of kisumu city streets. na mashetani zake zinamuelekeza kwengine.. ishindwe riswa!.
Picha tatu na tayari kashakuwa confused πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 kitombile utakufa kwa preshaπŸ˜₯
🀣🀣🀣🀣 sijapata kuona mtu mbishi kama wewe asee ila huku Mwanza tumepatikana, sasa Mwanza itakuwa ni yakisiasa zaidi kuliko maendeleo si kwa huyu kilaza chalamila.
 
Nilishawaambia Mwanza kushindana na kisumu ni kupoteza muda tu, kisumu size yake ni wakina arusha au Tanga, kushindana na kisumu ni kujishusha hadhi ni kama vile bayern munich ikacheze na azam fc
 
Mbona vipicha na vigorofa ni vilevile kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndo maana tukawachia Moshi,iringa na Arusha ndo saizi yenu.Tulijaribu kufunguka kidogo mkalete Mombasa nayo ni old town.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Waache washindane na Arusha sio Mwanza, naona mdazi anajitaidi kutuma vipicha vya mji wa arusha.
 
i can only relate kisumu to dubai. infact its ranked the cleanest city in kenya. 2020ranking

now this is what i was talking about.. i needed to see a serious city like this for me to give it a credit..
A-town, ooyeeh!
Acha unafiki, et a town oyee wakati arusha kwa Mwanza inaingia mara mbili.
 
huyu senge anaona zake, amelaaniwa na migorofa na vyumba.. teargas alikua ana try ku highlight usafi na beautification of kisumu city streets. na mashetani zake zinamuelekeza kwengine.. ishindwe riswa!.
We kweli ni mpumbavu kuna nn kisumu ambacho Mwanza hakuna? Lakini kuna vitu vingi ambavyo Mwanza vipo kisumu havipo nitavihorodhesha.
 
Unajua population ya mkoa wa Mwanza wewe au unajifanya mjinga kwanza Nyamagana yenyewe inakimbilia 1.2mil people.
 
Waache washindane na Arusha sio Mwanza, naona mdazi anajitaidi kutuma vipicha vya mji wa arusha.
arusha ndo jiji pekee ambayo kidogo ntaweza ilinganisha na miji za kikenya; nairobi, mombasa, kisumu, nakuru, eldoret. etc. iko ligi moja jinsi ilivyo ratibiwa, usafi, muundo msingi(mbinu), na hata magorofa. na iko na CBD.
ata Dar yenyewe na Tanga haina cbd, hio nilijua thru' mwalimu wetu wa Geography, nikiwa high school
 
Unajua population ya mkoa wa Mwanza wewe au unajifanya mjinga kwanza Nyamagana yenyewe inakimbilia 1.2mil people.
mkuu......... sisemi population ya mkoa ama wilaya ama county,
namaanisha population ya City-Proper. yani idadi ya jiji lenyewe (town centre na estates yake) bila kuhusisha, metropolitan area ama mashinani (mashambani)
 
hawaelewagi hawa watu hata maana ya city proper πŸ˜₯ Kuna zwazwa mmoja wa huko ziwani aliniambia mwanza inawatu million 4🀣🀣 hii ndio official website yao wasikupe taarifa za magazeti

hawaelewagi hawa watu hata maana ya city proper πŸ˜₯ Kuna zwazwa mmoja wa huko ziwani aliniambia mwanza inawatu million 4🀣🀣 hii ndio official website yao wasikupe taarifa za magazeti

View attachment 1788130
bass.. habari ndo hiyo. statistics toka serkali kuu mwanzo.. yani 363,000.. pekee!. japo ni 2012 censor. basi ata eldoret inaweza kua kubwa na 473,000 ata kama censor ni ya 2019
 
Tzn hapa Miji ya maana ni Dar,Arusha na Dom tuu japo barabara na slums ndio zinafanya isiwe mizuri

But kwa Dodoma itakuwa nzuri zaidi kuliko miji mingine kwa Tzn coz udhibiti wa Slums at least unafanyika
 
Imagine Arusha kuna hadi motorcycle racing competition na michezo mingine kibao ya kishua ambayo huwezi kuta kwenye hicho kijiji cha washamba cha Mwanza
 
Imagine Arusha kuna hadi motorcycle racing competition na michezo mingine kibao ya kishua ambayo huwezi kuta kwenye hicho kijiji cha washamba cha Mwanza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mnateseka bure watalaamu walishafanya yao ya kitaalamu wakasema Mwanza city a.ka Rock city is second largest and best city in Tanzania after Dar es salaam no less or more.πŸ˜‚πŸ˜‚nashindwa kuelewa shida inatoka wapi.Kama ni gugu basi mmewazidi mama wa kambo au wake wenza.Na kama mnahitaji kuwa wa kwanza au pili jitangazeni kwani shida hiko wapi au Mwanza city au rock city inawazuhia nini??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona Mwanza imezubaa hivyo?., na wanaita second city to Dar?..,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mwanza city or rock city is the second city to Dar hilo swala liko kitaalamu zaidi sio kwa maneno ya kike kike.Na wataalam hao wanatoka national wise na international wise hayo mangine ni majungu tu waafrika ndo tamaduni zetu ndo maana tunaitwa black continentπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…