Kisumu vs Mwanza

Hivi hapo kuna gorofa au ndo mmeamua kutuchekesha??Kweli kisumu ni sawa na Moshi city au iringa city [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuambia Mwanza na Kisumu nikama usiku na mchana. Mwanza ni panya inajaribu kushindana na Ndovu(Kisumu)
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]
Tofauti kubwa kama shilingi ya Kenya na Tanzania [emoji23]
 
πŸ™ŠπŸ™Š mungu wangu.......
this is what we reffer to as 'Sheer' contrast!
 
Lakini watanzania kwa Kiswahili mingi hawana mpinzani, vitu obvious lazima wapinge tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,. sasa onaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Lakini watanzania kwa Kiswahili mingi hawana mpinzani, vitu obvious lazima wapinge tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],. sasa ona[emoji23][emoji23][emoji23].,
Unakumbuka wakipingana hapa ju ya Magufuli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ™ŠπŸ™Š mungu wangu.......
this is what we reffer to as 'Sheer' contrast!
πŸ™ŠπŸ™Š mungu wangu.......
this is what we reffer to as 'Sheer' contrast!
Tumeamua kukaa kimya ili mwendelee kubweka kama Mbwa koko.Tumeamua kuacha hiyo Kisumu iangaike na Arusha.Sisi Mwanza hizo mechi za kitoto huwa hatucheziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa endeleeni kupambana na Arusha,Moshi,iringa au Dodoma.Sasa Mwanza inapambana na Kampala,Kigali na Mombasa old town kwa mbaaaali.
 
Lakini watanzania kwa Kiswahili mingi hawana mpinzani, vitu obvious lazima wapinge tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,. sasa onaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Na ukiona tumekaa kimya jua tumeisha wazalau hiyo Kisumu iendelee kupamba na Arusha na hivyo vimiji vingine vijaribu kwa Iringa,moshi,mbeya au Dodoma.
 
Wapige chini tu, me sasa nimeamua kuwazoom tu kama siwaoni wakilishana matango pori kuhusu MWANZA.
 
Na ukiona tumekaa kimya jua tumeisha wazalau hiyo Kisumu iendelee kupamba na Arusha na hivyo vimiji vingine vijaribu kwa Iringa,moshi,mbeya au Dodoma.
Jibu ndio mmekosa kabisaa kutoka Mwanza, Kiswahili tumezoea, unajitia hamnazo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Ni njia ya kukwepa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Jibu ndio mmekosa kabisaa kutoka Mwanza, Kiswahili tumezoea, unajitia hamnazo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Ni njia ya kukwepa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Miji yenu ilivyo kwasasa Mwanza ilishatoka huko mwaka 2005.Nyie pambaneni na arusha na miji mingine ya Tanzania kama Mbeya, dodoma na miji mingine.
 
Naton Jr. ulijaribu kututisha na video clip ya iringa, pia wee hii hapa ya eldoret city! and please take note of our residential and real estates in eldoret,.. its one of its kind in sub-saharan african, only comparable to ones in pretoria SA

residential housing and real-estates in eldoretπŸ‘‡
πŸ‘‡rupa mall eldoret
 
Naton Jr. ulijaribu kututisha na video clip ya iringa, pia wee hii hapa ya eldoret city!
Hii ilishinda Mwanza kwa thread ya Dar vs Nairobi last year πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., weka video ya Mwanza kisha linganisha.., from start to finish residential za Eldoret ata Dar wakaazi hawana very few rich guys., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Hapa Kuna a functioning international airport mostly for export na import ya bidhaa., Mwanza zero!
 
hebu wacha nitafute hio mwanza, niianike hapa live
 
Hii level yake ni Sumbawanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…