Kisumu vs Mwanza

Kwhyo sai watu wanaishi wapi, manake hzo hazijakamilika na mpka sasa ni units chache sana...

Then watanzania investors wako wapi hadi serikali ifanye kazi ndogo km hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ninyi shida yenu si estates....ziwe za serikali au binafsi hazikuhusu...watu binafsi wamewekeza kwenye apartments huku mjini..
Hizo nyumba sishaisha toka mwaka jana na hiyo project ni completed.Sema wanataka waongeze nyingine sababu zote watu wasio na masihara washabeba .... Na ndio sababu phase 2 ikawepo na sahivi zinamaliziwa tu...
Nimewawekea hadi za Buswelu hapo juu mzicheki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanzania hajaijua chochote. Yesterday I asked that witch the definition of a hostel and do you know what he told me? Eti ni manyumba zinafanana. Wewe plus yeye ni wajinga wote if you also reason like him.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ee...kisha alivyokua mjinga, ywaja kutetea ujinga...
Watanzania bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ninyi ndo wajinga mnoo...hamjamwelewa mmekurupuka tu Kama kawaida yenu....ndo hivyohivyo mnakurupuka tu kusema mwanza hakuna estates na hamjawahi fika....wajinga ninyi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheeee!!letaa aerial view tuone hzo nyumba 10..
Halafu sijasahau, unionyeshe sai watu wanaishi wapi manake hapo hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matusi ni kawaida kw wana ccm wanaposhindwa mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nani kakutukana bibie....umetukanwa wapi...hilo neno si tusi ukilitumia vizuri mahala pake...mtu anayekazana kitu fulani hakipo na huku kipo tunamtafsili vipi...yaani ninyi hilo neno ndo mmelitumia vibaya kwangu na ndio mlionitukana ambapo hata hivyo sijalalamika...
Sijashindwa,ninyi ndo mmeshindwa na hilo lipo wazi halihitaji ufafanuzi....
Na mwisho I'm not a member of any political party...
 
Mmezoe kuhalalasha matusi mnapo banwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…