Kisumu vs Mwanza

Khaa!!km bomu aisee..
Barabara ni moja imekatiza mpka ziwani[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha imechukuliwa juu mno kiasi kwamba huwezi ona barabara za michepuko kwa urahisi...hiyo barabara inayoiona ni 4 lane na kuna sehemu inakuwa six lane...sasa kama 6 lane inaonekana hivyo vipi kwa upande wa michepuko ambayo sanasana ni 2 lane itaonekana kweli...kwa kukusaidia tu hiyo barabara from city center to airport ina michepuko zaidi ya nane...na ndiyo sababu huku daladala zina route nyingi....kuichambua hiyo picha isn't a rocket science.... Ni vile tu watu ka ninyi tunawasaidia ili muelewe.
 
Heheeee!!letaa aerial view tuone hzo nyumba 10..
Halafu sijasahau, unionyeshe sai watu wanaishi wapi manake hapo hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aerial view kwa sasa sina....kama mashirika yenu ya nyumba yanajenga nyumba kumi huko kwenu ni hukohuko...
Halafu prove me wrong kwamba watu hawaishi au kwamba wanaishi mifugo...usiandike kitu bila kututhibitishia...prove me wrong...I stand to be corrected...
 
Kisumu ni kubwa sana kuliko mwanza haiwezi enea picha moja...hahahahaha what a joke.... Bro unafikir kuna watoto humu...ingekuwa hivyo basi miji mikubwa duniani nayo tungekuwa tunaona picha za ghorofa moja moja...leta aerial view ya kisumu tuhesabu hizo ghorofa mbili...sitaki ya usiku...coz nimegundua chaka lako...haya nasubiri...
 
Mna jitetea kukaa hostels 😂😂😂😂😂😂😂 piga ua, kawaida ya hostels hufanana, kwa vile hawakai students et zikataftiwa jina "apartments/Estates " but the truth remains forever, hizo ni hostels
 
A Atakuwa anazunguka na zile zile ghorofa mbili sijui tatu 😂😂😂😂😂
 
Full of Vibanda. Hii Mwanza ikikuja Kenya sijui hata kama inaezaekwa ikuwe town. The place is full of shanty buildings.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nyie mnatia sana aibu hata elimu ya picha hamna.....picha imechukuliwa several km above the ground unategemea nyumba uzionaje....rudini shule, mnatia aibu kwakweli...
 
unajifariji, but you know that Mwanza can be compared only with Mombasa out of Nairobi.
Achana nae huyo mkuu...anataka aone nyumba kubwa ilhali picha imechukuliwa km nyingi kutoka juu....hajui nyumba zinaonekanaje ukichungulia toka kwenye ndege....yawezekana hata ndege hajawahi panda....
 
Achana nae huyo mkuu...anataka aone nyumba kubwa ilhali picha imechukuliwa km nyingi kutoka juu....hajui nyumba zinaonekanaje ukichungulia toka kwenye ndege....yawezekana hata ndege hajawahi panda....
mzee baba haya majitu yanajua kuongea lugha ya wakoloni tu, ukija kwenye kuchanganua mambo mathematically /physically yana poteana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…