Kisumu vs Mwanza

Bwahaha!!mombasa uifananishe na mwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naupa aerial za kibabe tuView attachment 1310630View attachment 1310631

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakufaa
 
Shida yako si ni picha au una lingine
Eti picha...
Niletee aerial view yenye inaonyesha eneo kubwa tuone maajabu hapo mwanza...

Size yenu ni kisumu na nakuru hko, mombasa tutajenga towers nne tuwe juu ya dar...manake dar ina towers tatu, na hicho ndicho dar imeishindia mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa hawafundishi masomo ya msingi sana ni Lugha tu ya mabeberu, na walikuwa aged 25_35 kwa kukadilia, yaan nyie huko hakuna mnacho weza kujivunia zaidi ya lugha ya wakoloni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama unabisha uje hata wewe uombe kufundisha physics, Mathematics, chemistry au Biology uone kama utalamba job πŸ˜€πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ™πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Tushakuambia huwez cover mwanza CBD in a single photo, otherwise uchukue picture kutoka juu sana, narudia, kutoka juu sana na hutapata uhalisia sababu hata jengo lenye 10f utaona kama nukta, Kisumu saizi yake iringa maana hata Dodoma iko juu now days
 
Hizo unazotaja sijui Kisumu, nakuru fungulia Uzi Tulinganishe na Iringa, Dodoma au arusha
 
Mombasa equals Dar, licha ya vigorofa vitatu Dar., outside Dar in Tz hakuna town that can beat Eldy, Naks Vegas(Nakuru) or Kisumu! Hakuna!!, organization, estates, annual economic revenue, hakuna hata moja! If Kiambu county pekee collects more revenue than Dar with a population ya over 5 million, aibu tupu!
Bwahaha!!mombasa uifananishe na mwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naupa aerial za kibabe tuView attachment 1310630View attachment 1310631

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aerial views ndo maana nimekupa Uzi.......Au unafikir nimekupa uone hoteli...... Acha kupotezea watu muda na hayo mahaba yako....
 
Imani potofu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu kwanza mwanza ni milima mji umejengwa sehemu tofauti tofauti.... Hata aerial yake haiwezi chukua eneo kubwa vizuri..... Aliyewahi fika ndo atanielewa
 
Punguza mahaba na mihemuko
 
Fungua Uzi Kisumu city vs Iringa town ili ujinga wako wa kukariri ukutoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…