Kisumu vs Mwanza

H
nani kakuambia mi mtu wa Arusha mbona naitetea Mwanza kwenye ukweli! Tatizo ni kwamba mmezuka watu wa misifa mnapotosha sasa! Mnakuwa kama Wakenya wa Kisumu!
Hatupotoshi, sijawahi bisha kwa suala moja tu, Arusha ina majengo marefu mengi kuliko mwanza yanayoanzia 10+f zaid ya hapo arusha utaipa sifa isiyo staili
 
sikatai hilo ila kwenye hoteli ya nyota tano Mwanza bado haina jengo la NSSF litakapokamilika then hali itabadilika!
Hiyo Malaika beach resort nilikuwa naisikia sana, kumbuka ile sio hotel moja kwa moja ni beach resort kitu ambacho huwezi kuta Arusha sababu arusha ni landlocked city
 
H

Hatupotoshi, sijawahi bisha kwa suala moja tu, Arusha ina majengo marefu mengi kuliko mwanza yanayoanzia 10+f zaid ya hapo arusha utaipa sifa isiyo staili
hivi unafikiri nabisa kama fanatic? hapana nilichosema Mwanza haina 5 star hotel hayo mengine yako na ni sawa!
 
Website gani hiyo... Mbona hata sisi tunaobook hoteli hatuifahamu... Ingia kwenye websites official zinazoeleweka.... Mimi nakupa hii website ya hotel booking inayotumiwa na wabongo pamoja na watu wa nje ya nchi wanaovisit tz... Hizo ni baadhi ya hoteli za mwanza with their rate... Japo zingine hawajazirate bado...Angalia pia na maoni ya watumiaji wa hiyo hoteli na wengi wakiwa wa nje...
Lakini mi sikulazimishi... Ni mtazamo wako pia though you have never had a sleep there... Ukiona vipi basi sababu mimi discussion yangu juu ya hili swala inaishia hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nina miaka mitatu sijaenda arusha kwa sasa sijajua changes zilizopo huko lakini mwanza nilienda mwaka juzi ko ni mwaka na miezi kadhaa, Mwanza wasipojipanga mapema tatizo la traffic congestion lililokuwa linaikumba dar litahamia huko, maana ndio matatizo yetu wabongo huwa tunashtuka tayari tatizo lishatokea
 
nimetoka arusha mwaka jana mwezi wa 10 na wao hilo tatizo lipo kuna foleni kama mida ya saa 12 ukitoka na gari morombo kuja kijenge foleni unayokutana nayo ni sawa upo tazara inakera sio poa ila nahisi hii barabara ya kisongo moshono waipanue yani ni kero kila mtu anakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza airport road 10+km if I'm not mistaken, kuna ile barabara ya Musoma but three lanes 4km, walichokifanya wakatengeneza optional roads buzuruga through Nyansaka inakoishia sijui wa mwanza watusaidie, buzuruga - national via mecco km? , Usagara - kisesa and now construction of 34km Four lanes from town to Kigongo, kwa zile 10+km from Kigongo to usagara tayari watu washalipwa kupisha ujenzi ili kuunga hadi daraja jipya la Kigongo Busisi, ndio ninavyofahamu kwa sasa otherwise mtu anayejua zaidi aseme
 
Hebu tuletee statement iliyoandikwa malaika beach resort is a four star hotel sababu unanionyesha reviews tu.
angalia kwenye picha kwenye Hotel class kuna nyota 4! Unless una utaahira wa kutoelewa hata picha! More evidence! BTW it is the only 4 star hotel in Mwanza!



 
Kwenye taa za usiku hata usiongelee maana almost barabara zote za mji ziko na taa na barabara za mwanza jiji in terms of Km zinazidi arusha mbali tu
 
Hebu tuletee statement iliyoandikwa malaika beach resort is a four star hotel sababu unanionyesha reviews tu.
Hehehe kaka mi nshaacha sidhani kama mtafikia muafaka... Achana nayo hayo tuendelee na mengine...kwan 5 star ni mbinguni hata huko isiwepo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…