The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
ni 10.7 au 11.7 mwanza airport ila hio ya 32km hamna nimejaribu kuangalia kadri niwezavyo ila haipo na hio ya 6 ways ungeweza nithibitisha izo km na pia arusha 8.7 km from tengeru to usa dual carriage inaanza ujenzi muda wowote huu mwaka chini ya jica na usisahau iliyopo aulmost km 8 za tengeru to sakina inapitisha gari nane ukijumlisha na service roadMwanza airport road 10+km if I'm not mistaken, kuna ile barabara ya Musoma but three lanes 4km, walichokifanya wakatengeneza optional roads buzuruga through Nyansaka inakoishia sijui wa mwanza watusaidie, buzuruga - national via mecco km? , Usagara - kisesa and now construction of 34km Four lanes from town to Kigongo, kwa zile 10+km from Kigongo to usagara tayari watu washalipwa kupisha ujenzi ili kuunga hadi daraja jipya la Kigongo Busisi, ndio ninavyofahamu kwa sasa otherwise mtu anayejua zaidi aseme
Sent using Jamii Forums mobile app