Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni kwanza traffic lights za kutosha Kisumu!100 metres? Hapa bolt anakimbia kwa sekunde 9 na kumaliza.
Yes....kweli Wagon ferry ni muhimu..sana kwa sasa ..zikiwepo hata 2-3 za kuanzia...mzgo haulali..ukifika within48 -72hrs uko UG ..baada ya kutoka dar portSEZ/PEZ together with dry port r parrarel on the works mzee have patience! For now we need to even build more wagon ferries for Uganda cargo! We need at least five to prepare for SGR completion n avoidance of long waiting times!
Actually zinahitajika zaidi angalia zaidi ya Port Bell, bandari za Mwanza, Musoma na Kagera zote zinahudumia wagon ferries na kutoka Mwanza hadi Port Bell ni masaa sita sasa SGR ikianza kwa siku lazma kuwe na trip zisizopungua nne za kwenda na nne za kurudi! Hapo hujaongelea routes za Musoma na Bukoba.Yes....kweli Wagon ferry ni muhimu..sana kwa sasa ..zikiwepo hata 2-3 za kuanzia...mzgo haulali..ukifika within 20-24 hrs uko UG ..baada ya kutoka dar port
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya ndo wajue kama Tanzania wasomi wapo sio wasomi mapambio kila kesi wanashinda
Hivi runway lights za Kisumu airport zimepona?
Naxvegas254 Kafrican Depay Zigi Rizla n Edward Wanjala
Ila Teargass naona unahara leoMambo ya Kisumu huyawezi so keep quiet.
View attachment 1292629
Mambo ya Kisumu huyawezi so keep quiet.
View attachment 1292629
Ila Teargass naona unahara leo
TAMALE RUNWAY GHANA imehamia Kunyaland
View attachment 1292655
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ji white elephant hko mwanza..Sisi Tunaongelea madaraja ya 6 lanes na si barabara! Yaani tupo level ya 6 lanes bridges!
Naona sasa mmeanza kushustushwa na miradi ya kenya...lazima mfuate tu hamna budiSEZ/PEZ together with dry port r parrarel on the works mzee have patience! For now we need to even build more wagon ferries for Uganda cargo! We need at least five to prepare for SGR completion n avoidance of long waiting times!
When Kisumu city got first traffic lights