Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Walikuwa hawafundishi masomo ya msingi sana ni Lugha tu ya mabeberu, na walikuwa aged 25_35 kwa kukadilia, yaan nyie huko hakuna mnacho weza kujivunia zaidi ya lugha ya wakoloni 😂😂😂😂😂😂😂kama unabisha uje hata wewe uombe kufundisha physics, Mathematics, chemistry au Biology uone kama utalamba job 😀😇😇🙏🙌🙌
Hawayawezi masomo ya wanaume hayo...... Wenyewe wape tu kiingereza cha Kikuyu.....
 
Eti picha...
Niletee aerial view yenye inaonyesha eneo kubwa tuone maajabu hapo mwanza...

Size yenu ni kisumu na nakuru hko, mombasa tutajenga towers nne tuwe juu ya dar...manake dar ina towers tatu, na hicho ndicho dar imeishindia mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1571605402871.jpeg
tapatalk_1571605224410.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kwanza mwanza ni milima mji umejengwa sehemu tofauti tofauti.... Hata aerial yake haiwezi chukua eneo kubwa vizuri..... Aliyewahi fika ndo atanielewa
Excuses, heheeeee!! Si hata sao paulo brazil pia si ni mlima mji, lkn mbna inachukulika picha freshi tu kutoka angani..

Au unataka kusema mwanza imejengeka hta kuliko dar kw ukubwa lkn milima ndio kizuwizi mpka majumba hayaonekani yakipigwa picha kutoka juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanza ikifika level ya mombasa nitag, lkn kw sasa siwezi jisumbua kuilinganisha mombasa na hicho kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mombasa equals Dar, licha ya vigorofa vitatu Dar., outside Dar in Tz hakuna town that can beat Eldy, Naks Vegas(Nakuru) or Kisumu! Hakuna!!, organization, estates, annual economic revenue, hakuna hata moja! If Kiambu county pekee collects more revenue than Dar with a population ya over 5 million, aibu tupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga hawa, eti kaniletea uzi..nikimletea zile nyuzi za mombasa si ndio atakimbia hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa hawafundishi masomo ya msingi sana ni Lugha tu ya mabeberu, na walikuwa aged 25_35 kwa kukadilia, yaan nyie huko hakuna mnacho weza kujivunia zaidi ya lugha ya wakoloni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama unabisha uje hata wewe uombe kufundisha physics, Mathematics, chemistry au Biology uone kama utalamba job [emoji3][emoji56][emoji56][emoji120][emoji119][emoji119]
Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Class8 wa huku pia vile vile ataingia form2, sasa wewe mlete class 7 wa bongo kenya km hakurudishwa mpka la tatu au la nne...

Jiulize kw nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushakuambia huwez cover mwanza CBD in a single photo, otherwise uchukue picture kutoka juu sana, narudia, kutoka juu sana na hutapata uhalisia sababu hata jengo lenye 10f utaona kama nukta, Kisumu saizi yake iringa maana hata Dodoma iko juu now days
Kwhyo mwanza ina cbd kubwa kuliko ya dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushakuambia huwez cover mwanza CBD in a single photo, otherwise uchukue picture kutoka juu sana, narudia, kutoka juu sana na hutapata uhalisia sababu hata jengo lenye 10f utaona kama nukta, Kisumu saizi yake iringa maana hata Dodoma iko juu now days
Km hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images.jpeg-5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo mwanza ina cbd kubwa kuliko ya dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia hata akili ya kawaida tu sio lazima utese ubongo wako 😂Geographical nature ya mwanza ni hills ndio maana ni vigumu kupata Picture itakayo onyesha CBD ya mwanza bila kuacha baadhi ya maeneo, otherwise uende kuchukulia angani hukooooo!! 👆kitu ambacho hutapata uhalisia
 
Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Class8 wa huku pia vile vile ataingia form2, sasa wewe mlete class 7 wa bongo kenya km hakurudishwa mpka la tatu au la nne...

Jiulize kw nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakija chuo vilaza tena 😁😁
 
Back
Top Bottom