Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Achana nao wapuuzi tu haoPicha ya Zamani sana hii.
Hiyo barabara ni ya kwenda Airport, Yes ni moja Barabara kuu, hiyo ishajengwa na kuwa njia nne mpaka sita
Ipo barabara kuu nyingine inayokwenda Mpaka Sirali mpakani na Kenya
Ipo barabara nyingine inayokwenda Shinyanga mpaka Dar Es Salaam ambayo ikifika Usagara Round about inatoa tawi la kwenda Kigali na Kampala
View attachment 1320304
Sent using Jamii Forums mobile app