komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbna unaogopa tulianzisheWewe mwenyewe umesema makazi zero! na kule kuliko na slums kwenyewe vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna unaogopa tulianzisheWewe mwenyewe umesema makazi zero! na kule kuliko na slums kwenyewe vipi
Kaoneshwa hadi mishale yanapopitia magari... Kuna watu wana changamoto kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga 😂
😂😂😂😂😂nishakuambieni msilazimishe mpate sifa msizostahili maana huo ndio ugonjwa wenu wa misifa but nonsense in reality
Yaani unaona zimechorwa mishale hapo afu gari isimame? 😂😂😂tulia usije jiaibisha ikaonekana hujui hata traffic signsNapinga nn wakati daladala husimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Six lane ya aina gani hyo[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ulileta picha juzi dala dala imesimama[emoji1787][emoji1787]Yaani unaona zimechorwa mishale hapo afu gari isimame? [emoji23][emoji23][emoji23]tulia usije jiaibisha ikaonekana hujui hata traffic signs
Mbna maneno ya leso, au unaogopa slums za kisumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nishakuambieni msilazimishe mpate sifa msizostahili maana huo ndio ugonjwa wenu wa misifa but nonsense in reality
Nitatapika bure 😂😂😂😂😂😂maana nikileta picha za obunga, dunga, manyatta, Kondole na Nyalenda! 😂😂😂😂kesho nazishusha humu 😂😂😂
Duh kwa hiyo pale ni kituo cha kusimama daladala... Zile daladala zilikuwa zinatembea zote mbili... Kituo cha daladala zinapopaki kipo kule nyuma karibu na daraja.Wakati ulileta picha juzi dala dala imesimama[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nashangaa misifa ambayo huwa mnalazimisha
Nazisubiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitatapika bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana nikileta picha za obunga, dunga, manyatta, Kondole na Nyalenda! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho nazishusha humu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1323568ma
Leta hicho kituo tukioneDuh kwa hiyo pale ni kituo cha kusimama daladala... Zile daladala zilikuwa zinatembea zote mbili... Kituo cha daladala zinapopaki kipo kule nyuma karibu na daraja.
Km unavyolazimisha kuipambanisha mwanza na slums za kisumuHuwa nashangaa misifa ambayo huwa mnalazimisha
Sasa usije rudia kugusa issue ya makazi wakati unajua 60%of your population in kisumu lives in slums maana ni sawa na kuaibisha uwezo wako wa kucompare 😂😂😂😂Nazisubiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanza city vs kisumu slums
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeee!!2004[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa usije rudia kugusa issue ya makazi wakati unajua 60%of your population in kisumu lives in slums maana ni sawa na kuaibisha uwezo wako wa kucompare [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kituo kwenye hyo six lanekomora096 you're so dumb... Hivi hiyo picha hata kwa kuingalia inahitaji maelezo kuwa ni njia ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nimehama wakti unapinga km hyo lane haitumiki km service lane hapo mwanza...Umehama tena....sawa ntakuletea usijali...lakini aibu inaendelea kuwa kwako kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app