Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Kama bado mnapokea misaada ya chakula mm uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdpkwanza size ya uchumi ya kenya ni $109B (3rd in sub-sahara africa), na tz ni $60B. hiyo ni karibu mara mbili.. tena ikizingatiwa kuwa idadi ya kenya ni 47M na tz ni 56M, GDP per capita ya kenya ni $2,300 na tz ni $1,176.. (tu mumeingia uchumi wa kati juzi, ikakua bonge la sherehe tz). HDI ya kenya ni 0.61(medium) na tz 0.52(low) so iweje hasa waTz wanazidi wa kenya kwa kiwango cha maisha (lifestyle). chief, hio itakua ni ndoto