Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

kwanza size ya uchumi ya kenya ni $109B (3rd in sub-sahara africa), na tz ni $60B. hiyo ni karibu mara mbili.. tena ikizingatiwa kuwa idadi ya kenya ni 47M na tz ni 56M, GDP per capita ya kenya ni $2,300 na tz ni $1,176.. (tu mumeingia uchumi wa kati juzi, ikakua bonge la sherehe tz). HDI ya kenya ni 0.61(medium) na tz 0.52(low) so iweje hasa waTz wanazidi wa kenya kwa kiwango cha maisha (lifestyle). chief, hio itakua ni ndoto
Kama bado mnapokea misaada ya chakula mm uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp
 
I
Kama bado mnapokea misaada ya chakula mmuo uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp

Kama bado mnapokea misaada ya chakula mm uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp
Sasa wewe fundi kitasa Bora sisi au bora wao ndo maana tunaitwa wadanganyika tunaaminishwa sisi ni matajiri lakini hamna kitu...hapo yenyewe unakuta hujala mmepandishiwa bei ya vivurushi kidogo mmeanza kubwabwaja😂😂
Umaskini umewajaa Kazi kujilinganisha Na Kenya hawawatu wametuzidi sana
 
ee bwana ee.. hicho kiswahili chako kidogo kimenizingua, kimekomaa kimashahiri, kimeenda shule.. kimekolea.. hataa sisemi kitu mie. sisi wanakenya naomba mtupeleke skuli
 
Data ni statistics unazohitaji kufanya research ili upate conclusion lazima uwe Na data ya watu wangapi ulionao Na wangapi wako chini ya poverty line Kwa data tulizonazo tz mnaongoza Kwa maskini wengi😎Sasa wewe unaniletea magazeti
Alafu usisahau Kenya ni nchi ya kidemokrasia Na uhuru wa habari ulivoona hapo 1.4 million people wamepewa chakula usidhan bongo watu wote Wana Maisha mazuri
Unajua watu wangapi bongo hawana uhakika wa Kula mara tatu tuanzia Kwa hapa dar usiongelee mikoani
Huku hamna uhuru wa habari upate taarifa kama hizo au ulisahau mwendazake alisema mkuu wa mkoa atakayesema mkoa wake una njaa Kazi hana unafkiri bongo watu hawana njaa ni taarifa zinafichwa tu mzee
hapo ndipo! 😆. nadhaani hiyo volume iko sawa
 
Dubai/UAE na Saudia wanapokea chakula yao yote toka nje lakini....... yatafakari hayo
Tatizo unatumia bichwa lako kubebea kuni sio kufikiria we tangu lini umeskia uae wanapewa misaada ya chakula 🤔😅😅, hao waliwaletea hivyo vyakula vya msaaada
 
GDP ya Kenya is two times bigger than the one in Tanzania.
Watu mmekalia magdp tuuu akati mnakufaa njaa ebu niondolee akili yako ya msaada hapaa, siku mkiwa na sustainable food supply njoo ujitambe hapaa ila kwa sasaivi endelea kula githeri
 
I

Sasa wewe fundi kitasa Bora sisi au bora wao ndo maana tunaitwa wadanganyika tunaaminishwa sisi ni matajiri lakini hamna kitu...hapo yenyewe unakuta hujala mmepandishiwa bei ya vivurushi kidogo mmeanza kubwabwaja😂😂
Umaskini umewajaa Kazi kujilinganisha Na Kenya hawawatu wametuzidi sana
Sasa wao wanaaminshwa matajiri alafu wanakufa na njaa wapi na wapi Acha kukaza fuvu mzee hujazuiliwa kuhamia Kenya
 
We umeona Hilo
Kama Jana nilikua pale sanawari mjini kabisa naona traffic lights lakini naambiwa nipo arumeru
Sensa ya 2012 Arusha ilikua Na population ya 400k Na Zaidi kwenye eneo la 93kmsq tu Na population density ilikua inakimbizia ile ya baadhi ya manispaa za dar Na ndio maana ukiwa Arusha unapata ile vibe ya town hasa Mwanza ilikua Na 700k kwenye eneo la 422kmsq Sasa unaweza kuona tu maeneo mengi Sana kama kisongo tengeru USA mianzini sanawari hata mushono hayakuhesabiwa bt still tukawa mji wa 3
2014 walianza kuchora masterplans za arusha Na Mwanza kuja kugundua Arusha imetanuka Sana nje ya proper city boundaries kwahiyo eneo la mjini la arusha ni 608kmsq while mwanza ni 422kmsq ile ile
Sisi ni wazalendo hasa ila mwanza haina misuli ya kushindana Na Kisumu hata kidogo tumeamua kuja huku ili tuokoe jahazi😃 atleast arusha and Kisumu could make sense
ONLY GREAT THINKERS WOULD UNDERSTAND THIS
Ila kumbuka kwamba mfumo unaotumia Dar umeanzia Mwanza ukisikia Mwanza city jua hiyo ni manispaa moja ya Nyamagana na Mwanza ina manispaa tatu(ilemela,nyamagana,kisesa)ambazo kila moja ni sawa na Arusha na Kisumu wendelea kupiga kelele ila kumbuka kuna watalamu wa haya mambo.
 
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
Utapiga kelele sana na kupanga malink ya kinafiki ila ukweli unaujua.Kawaida yenu wakenya nikujimwambafy kama mwanamke malaya.Hiyo nairobi haifkii Addis au Dar hata kidogo.Swala la Mwanza hamujaanza leo kupiga kelele ila kipigo kiko palepale.Wataalamu wanasema Mwanza ndo best and developed city after Dar and largest city after Kampala city at the lake zone.Sasa wewe la saba kilaza na nane kilaza sijui unaanzia wapi kuwapinga watalaam,pumbavu sana😂😂😂
 
Rock city sio ya kulinganisha viji vinavyotumia baiskeli kama usafiri wa umma.Mwanza ni habari nyingine hiyo Eldoret haifiki hata nusu ya Arusha labala kidogo Kisumu na Arusha city.

View attachment 1739483

View attachment 1739484

View attachment 1739487
Siku Utakuja kutembea Kisumu utajihurumia na hio Mwanza yako[emoji23].
Kisumu sahii ni moto ya kuotea mbali. Very developed.
20210411_065709.jpg
FB_IMG_16167031041710297.jpg
20201031_172010.jpg
20201029_220433.jpg
20201029_084239.jpg
FB_IMG_15983459955435709.jpg
FB_IMG_15983459482760874.jpg
FB_IMG_15983459380181767.jpg
FB_IMG_15983459808355473.jpg
FB_IMG_15983460225839260.jpg
Screenshot_20210409-200316.jpg
20210404_222415.jpg
20210404_222421.jpg
FB_IMG_16175594929894544.jpg
FB_IMG_16162640498604363.jpg
20210314_125012.jpg
20210111_082519.jpg
20210108_164947.jpg
FB_IMG_16097329102981263.jpg
FB_IMG_16084610635079703.jpg
20201220_002359.jpg
20201215_053106.jpg
20201107_163626.jpg
20201107_163926.jpg
20201031_172010.jpg
FB_IMG_15983459190264290.jpg
FB_IMG_15983459106263786.jpg
images%20-%202020-08-17T133311.897.jpg
images%20-%202020-08-14T194030.657.jpg
 
Utapiga kelele sana na kupanga malink ya kinafiki ila ukweli unaujua.Kawaida yenu wakenya nikujimwambafy kama mwanamke malaya.Hiyo nairobi haifkii Addis au Dar hata kidogo.Swala la Mwanza hamujaanza leo kupiga kelele ila kipigo kiko palepale.Wataalamu wanasema Mwanza ndo best and developed city after Dar and largest city after Kampala city at the lake zone.Sasa wewe la saba kilaza na nane kilaza sijui unaanzia wapi kuwapinga watalaam,pumbavu sana😂😂😂
Wape habari yao hao wazandiki waache kudemka.
 
Back
Top Bottom