Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Hizo barabara za mwendo kasi wangejenga kingo kubwa hata iwe vigumu gari kupanda na kwenda upande wa pili.

Mwendo kasi lakini barabara ipo haina vizuizi? Sio afya kwa wananchi
Kabisa,barabara yote ingejengewa kingo,hata kama ni ndogo ili kusiwe na muingiliano
 
Una hakika Ni yeye anaongoza nchi
Enhe! Tuambie wewe...ni nani anayeongoza nchi?!

Njoo PM Mkuu tafadhali au nipatie mail yako. Tunahitaji sana confidence za watu wa aina yako 😊

Kama umekamilika usisite kuja PM Kusema anaengoza nchi badala ya Rais au ukiona unajiamini sana sema hapahapa
 
Poleni sana.

Hili dude yawezekana alitegewa huyo mzee ila wengine wameingia kwenye mkumbo tu
 
Hata ukiwa na haki ya njia wajibu wako wa kwanza ni kuepusha ajali.
Dawa kabisa nakubaliana na wewe. Je katika Ile pale dereva wa bus alikua na abiria zaidi ya hamsini na like bus Lina mtoto nyuma , break zake nizakutafuta, yule dereva wa bus angefanya nini pale?
Kufunga break ghafla na kuhatarisha maisha ya watanzania au kugonga mnyarwanda mmoja asiyefata Sheria za barabara za Tanzania. I think you have the answer.
 
Mimi sikusema dereva wa mwendokasi ana makosa.
 
Ingekuwa enzi za machinga kufanya biashara barabarani leo wengi wangedhurika
 
Kwani huoni? Speed alokuwa nayo sio kubwa angeshika brake asingefikia kuua mtembea kwa miguu

Mkuu haya magari hayafungi break kama magari mengine

Angemkwepa mtembea kwa mguu angesaga hiyo gari ndogo ndio asimame mbele na yana speed kali sio kama daladala zetu

Kuna ndugu yangu aliwahi agiza moja dogo design za haya magari yaani speed ndogo ila sisi tunaona speed kubwa
 
Wengi walikoment kwa kuhukumu biLa hata ya kutumia akili ya ziada wameanza kumpa malalamiko dereva wa mwendo kasi tuna safar ndefu kama nchi
Watanzania wamezidi kuwa wavivu hawapendi kusoma basi hata kutazama video hawataki wanataka kukomenti majivu. Dah wacha ccm waendelee tu kutawala mataahira.
 
Nchi inaongozwa na ndugu Msoga na magenge yake, unalakusema
 

Wawaambie hao madereva wao wakiwa wanatoka ferry hadi DIT au Gerezani Mpaka Fire(Kimara/Ubungo BRT) au Muhimbili(BRT) wawe na speed ya kawaida then wakishavuka DIT/FIre hapo ndipo wafungua Turbo kama wanaenda Kimara/Ubungo/Mbezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…