Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Labda kuna ambacho sijaelewa?We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
Kuna muingiliano wowote baina ya swali lako na comment yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kuna ambacho sijaelewa?We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
Labda kuna ambacho sijaelewa?We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
Labda kuna ambacho sijaelewa?We ungekua ndo uko kwenye main road achilia mbali mwendokas ungefanyeje
Kwenye junction yoyote ambayo ni "blind" Yaani isiyokupa nafasi ya kuona kuwa kuna magari mengine yanatoka pande zinazokatiza na spidi zao, ni lazima uchukue tahadhari kwa kupunguza mwendo. Yule dereva wa mwendokasi hakuchukua hiyo tahadhari bado akawa na spidi ile ile ambayo haikupi nafasi ya kusimama ghafla bila kusababisha ajali.Angalieni video hii ya chanzo cha ajali hapo dereva wa mwendokasi hana makosa aisee
Hii ndio moja ya faida ya kufahamu Hisabati.Huwa tunaangalia percentages, katika hao wachache unaowajua, wangapi wamesababisha ajali, tafuta percentage yake; halafu uje kwa wanaume uone wangapi wamesababisha ajali, na utafute percentage yao. Mwishoni linganisha percentages hizi mbili; yaani percentage ya wanawake na ile ya wanaume.
HILO NALO KWELI MKUUKwenye junction yoyote ambayo ni "blind" Yaani isiyokupa nafasi ya kuona kuwa kuna magari mengine yanatoka pande zinazokatiza na spidi zao, ni lazima uchukue tahadhari kwa kupunguza mwendo. Yule dereva wa mwendokasi hakuchukua hiyo tahadhari bado akawa na spidi ile ile ambayo haikupi nafasi ya kusimama ghafla bila kusababisha ajali.
Lazima hawa madereva wa mwendokasi wapewe utaratibu mpya wa spidi ya kuendesha mabasi yao kuanzia pale DIT mpaka Kivukoni.
Kuna umuhimu gani wa kuwa mwendokasi Kama unataka litembee taratibu ?Wawaambie hao madereva wao wakiwa wanatoka ferry hadi DIT au Gerezani Mpaka Fire(Kimara/Ubungo BRT) au Muhimbili(BRT) wawe na speed ya kawaida then wakishavuka DIT/FIre hapo ndipo wafungua Turbo kama wanaenda Kimara/Ubungo/Mbezi.
Asante kwa taarifa binti mzuri.Mzee aliyebamizwa ukutani yupo MOI ICU
Kavunjika mkono , mguu na head injury
Anafumbua macho ila haongei
Bonge la point [emoji115]So ikiwa Ni haki yako ndo upite tu ? Bongo madere wengi Ni mchwara Mimi kwenye intersection mwendo unarudi 10kph siwezi amini hata Kama Ni haki yangu
Si kulikuwa na gari nyingine?Kwenye eneo la ajali huwa watu wengi wanasema la kwao.
Kinachostua ni namna hiyo ajali ilivyotokea ambapo gari imehama upande kabisa na kuharibu miundombinu kabisa
Hakika umesema kweli, sometimes hata uwe na haki dereva mzuri unaweza msave mtu aliyefanya uzembe kuokoa wengine (fair driving)Udereva mzuri ni unaozingatia usalama kwanza. Haijalishi una haki ya njia au la. Tunapaswa kujifunza udereva wa kujilinda.
"Mwendokasi" ni jina tu wala sio ruhusa ya kuendesha kwa spidi kama formula one. Kwa kifupi hiyo BRT yaani "Bus Rapid Transit" ni "njia ya haraka ya basi" . Haina maana basi litakimbizwa kama mashindano ya magari bali basi halitapoteza muda kokote pale kwa sababu ya foleni kama daladala. Ni sawa na wewe utumie gari yako binafsi kupita BRT, utawahi wewe kufika na kuwaacha wengine kwenye foleni.Kuna umuhimu gani wa kuwa mwendokasi Kama unataka litembee taratibu ?
Teua tengeu ya mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wakuu wa taasisi za umma wewe ungeshindwa!? Kusafiri huku na huko duniani, wewe ingekushinda hiyo!? Kutoa toa hotuba za nendeni mkaliangalie na hilo, nalo lingekushinda!?Wakipewa Training ya kutosha na ya muda mrefu naamini wataweza. Usiwadhoofishe kiasi hicho afsa 😊
Hata Rais mlisema hataweza.. mbona anachochora tu?! Na madudu hata wanaume wenzetu walifanya yaleyale tu yanayofanana
mkuu unajua maana ya bus rapid transit, haimaanishi kwamba gari liwe na mwendo wa kasi inamaanisha gari inawai kufika bila vikwazo vyovyote barabarani kama foleni nk na yale magali ukizidisha spid yanapiga alam kama umeishawai kupandaKuna umuhimu gani wa kuwa mwendokasi Kama unataka litembee taratibu ?