Aaaahahaha! weee jamaa!
Press conf. aliitisha Mbinguni mkuu, Baadhi ya washiriki/Malaika watiifu, wakamuomba na kumbembeleza sana usiku kucha atubu, Bado ana nafasi aligoma.
LKN Ujue haya ya kusemasema Shetani mbaya, ni ya kibinadamu zaidi, hakuna kwenye Biblia Mungu anamkaripia shetani, au kumkandya hovyo! zaidi sana wanaongea km Mungu alipomuuliza. na nukuu ''Shetani unatoka wapi?''
Shetani. ''kutembea huku na huko''
Yesu alipojaribiwa, alimjibu kwa upole tu! daaaa!
Mwana mpotevu alitubu, tena alikana hadhi ya mtoto mwenye nazo akaomba kwa Babae '' mimi niwe kati ya Wafanya kazi wako, kwa jinsi alivopigika huko Duniani,
But hili toto tukutu Shetani, lina kila kitu full mamlaka mpaka linaitwa mkuu wa Ulimwengu, linapeta mwanzo mwisho, na Muda wa kutubu ulishapita, kitambo,
Yes! najua Mungu hapangiwi, wanpiga story, ana muomba sana Mungu huyu jamaa! pia linalowezekana kwa Mungu kwa binadamu haliwezekani but akimsamehe tu huyu jamaaa Mtiti wake Baba mkuu utaja nambia! siku tukifika,(mi mkuu naenda. wewe je!) aki samehe tu atasababisha uasi mwingine. mkubwa sana. huko Mbinguni.
Yaani tutaanza upya na mashetani kibao! yaani Devils part two! sijui watapewa jina gani ikitokea uasi mara ya pili