Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Waache waje kusoma shitaka kikamilifu, it all borders treason. They have created it in such a way that if they push forward the charges can easily change to treason. Kupanga na kula njama za kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Taifa.They’re not gonna go all the way with it.
Lengo lao ni kumsumbua na kumnyanyasa tu.
Kwani hakuwa dikteta ?Mliosema Mwendazake alikuwa dikiteta, mtendaji wa wanasiasa, mbambikia Watu kesi haya yako wapi Sasa. Yaani michadema akili zenu za Kijinga Sana na mtaperekeshwa sana
Chadema ni yetu nyie wengine mmefuata ugali!Mnafique katika ubora wakwe
Wewe unapambana na nini ?Wanaopambana kuitoa CCM madarakani wajue kwamba CCM hawapo tayari kutoka madarakani na ni wazi wameapa kupigana na yeyote na kwa njia yoyote kulinda maslahi yao(sio ya wananchi).
Hivyo wajue kwamba vita hiyo si ya kitoto ni vyema wakafikiria njia nyingine sahihi ya kupambana nao.
Huwezi kuelewa, uwezo wa kudadavua mambo mdogo sana.EeenHeee,
Unaona wazimu ulionao kichwani?
Umesoma wapi palipoandikwa kinyume na hayo uliyojibu hapa!
kila sambo lina muda wake ipo siku mtatafutana hatupo mbali endelezini kuchochoa motoIngie barabarani kama kweli mna uchungu na Mbowe kazi kijificha Twitter na JF kupiga porojo tu, Chadema kimeishatekwa na wanaharakati uchwara wanakutana space huko Twitter kazi kusifiana huku mitaa kwenye battle wanakimbia, wamebakia kulia lia.
Maandamano lini bibie?Ahh Ukishasema Jambazi maana yake ushahukumu mahakani kufanyni nini sasa??? akili ndogo kama punje ya Mchele
Kimsingi kila mmoja ashinde mechi zake.Mbwa wa kijani wamejazana hapa, shangilieni Leo, furahini! Zamu inakuja tena kama March 2021
Matabia machafu ya hao uliowataja hayahalalishi tabia chafu za wapinzaniWanasiasa uchwara ni wale ambao enzi za Magufuli walikuwa wanapiga debe kuwa chanjo hazifai na mabeberu wana wivu sana na sisi na wanataka kutuua kupitia chanjo zao ila leo hii baada ya Magufuli kufa wanapiga debe kuwa chanjo zinafaa sana wala hazina shida na ni muhimu kwa Taifa.
Mbona hakuna Jina la Mhe. Mbowe hapa? Hii nchi haiishi vituko kwa kweli!!!Muda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.
UPDATE:
TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .
Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.
Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.
Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .
Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
=========
UPDATE:
Kwa mujibu wa Wakili Kibatala, huenda Mbiwe ameunganishwa kwenye kesi hii 👇🏾
View attachment 1869224
View attachment 1869223
View attachment 1869225
View attachment 1869226
View attachment 1869229
View attachment 1869227
View attachment 1869228
Tabia chafu za wapinzani ni zipi hizo?Matabia machafu ya hao uliowataja hayahalalishi tabia chafu za wapinzani
nani anaelekea shimoni sasa, manake unavyoongea utafikiri mimi ni polisi au mahakama. kwani mimi ndio nimemkamata? sisi sote tumeambiwa ana makosa na kapelekwa mahakamani, sasa mambo yako ya kuaguaagua hayo peleka kwa manabii wa mafuta na chumvi na kwa waganga wa kienyeji. mtoe basi gerezani.
Nakupa onyo pia na wewe , wewe ni nani ubishane na aliekuleta duniani, au wajiona uliota Kama mbuyu kisa wavaa pensi, Wala bia , KWA anasa za kidunia?Acha ujinga wewe jamaa na huyo Mungu wako uliyeletewa na wazungu, huyo Lord wako unayesema katengenezwa na waroma, wakamvesha na jua kichwani ili waendelee kuabudu jua lao juu ya kichwa cha huyo lord wako
Gaidi Mbowe yupo Segerea saivi, ametulizwa na wanyampara huko, anajisugua sugua tu kunguni huko ndoo ya kinyesi ikimpa harufu saaafi kabisa.Wakati mwingine mtumie akili nyie mafisi,maharamia wa kijani,ilistahili nyie mwuitwe magaidi sio hugo wa kubambikiwa kwa maslahi haramu yakakikundi fulani.
Na kesi ipo mahakamaniUnauhakika ni gaidi?
Kila mtu anajua sasa hivi jamaa ni gaidiUnauhakika ni gaidi??