Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

They’re not gonna go all the way with it.

Lengo lao ni kumsumbua na kumnyanyasa tu.
Waache waje kusoma shitaka kikamilifu, it all borders treason. They have created it in such a way that if they push forward the charges can easily change to treason. Kupanga na kula njama za kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Taifa.

Na hapo kisutu ni preliminary hearing kabla ya ku commit bundle na kuipeleka mahakama kuu kwa kosa la treason. Kuna makubwa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mliosema Mwendazake alikuwa dikiteta, mtendaji wa wanasiasa, mbambikia Watu kesi haya yako wapi Sasa. Yaani michadema akili zenu za Kijinga Sana na mtaperekeshwa sana
Kwani hakuwa dikteta ?
 
Wanaopambana kuitoa CCM madarakani wajue kwamba CCM hawapo tayari kutoka madarakani na ni wazi wameapa kupigana na yeyote na kwa njia yoyote kulinda maslahi yao(sio ya wananchi).
Hivyo wajue kwamba vita hiyo si ya kitoto ni vyema wakafikiria njia nyingine sahihi ya kupambana nao.
Wewe unapambana na nini ?
 
Ingie barabarani kama kweli mna uchungu na Mbowe kazi kijificha Twitter na JF kupiga porojo tu, Chadema kimeishatekwa na wanaharakati uchwara wanakutana space huko Twitter kazi kusifiana huku mitaa kwenye battle wanakimbia, wamebakia kulia lia.
kila sambo lina muda wake ipo siku mtatafutana hatupo mbali endelezini kuchochoa moto
 
Kwenye hili nasema hapana, hapana, natofautiana sana na samia na serikali yake, kwenye hili hapana. hatua za haraka zinahitajika kuchukuliwa dhidi ya serikali hii.
Tundu Lissu na John Mnyika hiki ni kipimo cha uongozi wenu na umakini wenu kwa chama.
Kesi hii itamfanya mwenyekiti Mbowe akae mahabusu miaka na miaka. je chama kinachukua hatua gani dhidi ya serikali dhalimu kuwahi kutokea nchini kwetu?????
Tundu Lissu na John Mnyika itisheni mkutano mkuu wa chama , from there tekelezeni yale mtakayokubaliana, kuitangazia dunia tu kwamba serikali ya huyu mwanamke ni serikali ya kidkiteta hakufanyi mwenyekiti atoke.
 
Wanasiasa uchwara ni wale ambao enzi za Magufuli walikuwa wanapiga debe kuwa chanjo hazifai na mabeberu wana wivu sana na sisi na wanataka kutuua kupitia chanjo zao ila leo hii baada ya Magufuli kufa wanapiga debe kuwa chanjo zinafaa sana wala hazina shida na ni muhimu kwa Taifa.
Matabia machafu ya hao uliowataja hayahalalishi tabia chafu za wapinzani
 
Muda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.

UPDATE:


TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .

Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.

Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.

Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .

Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje

=========
UPDATE:

Kwa mujibu wa Wakili Kibatala, huenda Mbiwe ameunganishwa kwenye kesi hii 👇🏾

View attachment 1869224
View attachment 1869223
View attachment 1869225
View attachment 1869226
View attachment 1869229
View attachment 1869227

View attachment 1869228
Mbona hakuna Jina la Mhe. Mbowe hapa? Hii nchi haiishi vituko kwa kweli!!!
Hii kesi ni ya kubumba tu na inalazimishwa kibabe tu!!
Huyu mama si alisema kesi za muda mrefu hasa za Kisiasa na hazina Ushahidi zifutiliwe mbali??
Mbona masheikhs wa uamsho wako nje? Why Mbowe? Au kwa vile masheikh ni WAISLAMU na Mhe. MBOWE NI MKTISTO? Mama aliweke hili wazi ili Watz wajue!!!!
 
Unakosea Sana , mkuu, hoja hapa
nani anaelekea shimoni sasa, manake unavyoongea utafikiri mimi ni polisi au mahakama. kwani mimi ndio nimemkamata? sisi sote tumeambiwa ana makosa na kapelekwa mahakamani, sasa mambo yako ya kuaguaagua hayo peleka kwa manabii wa mafuta na chumvi na kwa waganga wa kienyeji. mtoe basi gerezani.

Acha ujinga wewe jamaa na huyo Mungu wako uliyeletewa na wazungu, huyo Lord wako unayesema katengenezwa na waroma, wakamvesha na jua kichwani ili waendelee kuabudu jua lao juu ya kichwa cha huyo lord wako
Nakupa onyo pia na wewe , wewe ni nani ubishane na aliekuleta duniani, au wajiona uliota Kama mbuyu kisa wavaa pensi, Wala bia , KWA anasa za kidunia?

Sikia na elewa kua na pesa ila kubari yeye ndo die haijalishi wamtafuta pitia imani ipi ,mkuu,

Huna Cha kukieleza na WENDA ya kidunia nayajua hata kabala ya kuzaliwa tulia tuli ,nakwambia mkuu
 
Wakati mwingine mtumie akili nyie mafisi,maharamia wa kijani,ilistahili nyie mwuitwe magaidi sio hugo wa kubambikiwa kwa maslahi haramu yakakikundi fulani.
Gaidi Mbowe yupo Segerea saivi, ametulizwa na wanyampara huko, anajisugua sugua tu kunguni huko ndoo ya kinyesi ikimpa harufu saaafi kabisa.
 
Back
Top Bottom