Ok ,niseme hata leo wewe ulipo Kama haki YAKO ikipokonywa niatasimama kadri itakvyo , nimesoma KWA haraka andiko lako, ila ndivyo ilivyo hata Kama sijakujibu utakavyo
Ila elewa pia nimekaa miaka 33 nikiwa Sina chama , na kua na chama tz sio jinai ila niliamuamua kujiunga na CHADEMA, SO SIFICHI, NA KWA UMRI WANGU NITAFIA CHADEMA,
Sisemi kwamba vya vingine mfanoACT ,CCM NK, Kwamba havifai, WENDA vinafaa ila KWa vigezo vyangu havifai, why ,Ccm hakuna chama pale ni dola tu yatamalaki,Act nk vipo ila vinaelea, Cuf ,prof libumbu kakiua KWA mikono yake mwenyewe, na anajua na Mungu anamuona
Binafsi mpaka mda huu, natamani tz iwe na ACT, CHADEMA ,CCM , Kama vyama vilivyo imara, na tupishane KWA hoja sio blabla ,kwamba kimoja nitumie dora kua madarakani big no nahaitakua