Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Hivyo vitu vyako unavyoamini mimi siviamini, Huyo Mungu na Lord wako wamekuwa invented na binadamu kama wewe ili kuwatawala watu kama wewe
 
Kw
unasemaje kuhusu kauli za kichochezi za mdude na Tundulisu? unaziunga mkono? mbowe anaziunga mkoni? mna agenda gani?
Kwani kusupport ndiyo unageuka kuwa gaidi.... After all ugaidi siyo maneno. Ni vitendo.
 
Ok ,niseme hata leo wewe ulipo Kama haki YAKO ikipokonywa niatasimama kadri itakvyo , nimesoma KWA haraka andiko lako, ila ndivyo ilivyo hata Kama sijakujibu utakavyo


Ila elewa pia nimekaa miaka 33 nikiwa Sina chama , na kua na chama tz sio jinai ila niliamuamua kujiunga na CHADEMA, SO SIFICHI, NA KWA UMRI WANGU NITAFIA CHADEMA,

Sisemi kwamba vya vingine mfanoACT ,CCM NK, Kwamba havifai, WENDA vinafaa ila KWa vigezo vyangu havifai, why ,Ccm hakuna chama pale ni dola tu yatamalaki,Act nk vipo ila vinaelea, Cuf ,prof libumbu kakiua KWA mikono yake mwenyewe, na anajua na Mungu anamuona


Binafsi mpaka mda huu, natamani tz iwe na ACT, CHADEMA ,CCM , Kama vyama vilivyo imara, na tupishane KWA hoja sio blabla ,kwamba kimoja nitumie dora kua madarakani big no nahaitakua
 
Hivyo vitu vyako unavyoamini mimi siviamini, Huyo Mungu na Lord wako wamekuwa invented na binadamu kama wewe ili kuwatawala watu kama wewe
hapana, Mungu yupo, hajawa invented. cha muhimu kumpuuza huyu Mwamakula ni kuachana naye, anaamini yeye ni mtu wa Mungu kumbe ni shabiki wa mashoga. kanisa lake la anglican linaruhusu ndoa za jinsia moja.
 
Kw

Kwani kusupport ndiyo unageuka kuwa gaidi.... After all ugaidi siyo maneno. Ni vitendo.
do you know what's behind the curtain? kwa huyo mwenyekiti wenu? angeamua kufanya uovu angekuja kukuaga wewe?
 
ungekuwa umeitwa na Mungu wala usingekuwa hapa, ungekuwa huko unahangaika na roho za watu wanaopotea dhambini, mojawapo wakiwa kina mbowe wanaopanga kuvuruga nchi ili hata kusali tusisali kwa amani. angalia usiwe kibwetele, na pia usijiamini sana, serikali ipo na inakuheshimu tu we mwamakula, haijakushindwa. sisi wenzio tunaheshimu serkiali na mamlaka ambayo Mungu ameweka, wewe endelea kurukaruka na hicho kijoho chako.
 
Sawa.

Amandla...
You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏
Sawa.

Amandla...
You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏
 
Unatetea upuuzi huu seriously?
"They" ni hao wanaomfungulia mashtaka. Hao ambao Mkuu wa Nchi alituambia wana tabia ya kuwabambikizia watu kesi.

Amandla...
Aliowasema mkuu wa nchi kwamba wana tabia ya kuwabambikia watu kesi tayari amewaondoa.

Waliokuwepo sasa inawezekana ni watenda haki.

Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
 
Chocheeni kuni mbichi, Moto ukoleee, ugali uive, Mnacho taka kitokee Alikeni mamluki, Wakija wangojee, Mikeka wawekee Wanachotaka kitokee. Chochea,


 
SIkia nimekupa nafasi moja nikijua utaitumia vizuri tujadili ,kumbe hamna kitu ,upo kujitutumua Kama profile ilivyo, Kama umekula nao meza moja ni wao sio sie , inakuaje wanyama unaowalisha ,leo wakutawale ,chukulia mfano nyumbani kwako , kwamba umemfuga paka, simba, mbwa ,sungura ,kuku,alafu wakusumbue utafanya nini, ?? Nafikili wanaoliwa utawachinja wawe kitoweo na wasio liwa uatawatafutia utaratibu, please ,hao kaa nao kula nao binafsi vya haram huwa sili mpaka naingia kaburini
 
Taratibu mkuu
 
Rest In Peace CHACHA ZAKAYO WANGWE
 
Mbowe kaona line of weekness kwa mama anataka kuitumia kabla haijazibwa. Na mama kashaiwekea zege tayar haipitiki. Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…