Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Aliowasema mkuu wa nchi kwamba wana tabia ya kuwabambikia watu kesi tayari amewaondoa.

Waliokuwepo sasa inawezekana ni watenda haki.

Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
Hamna mtu mwenye ubavu wa kuzuia kesi hiyo iendelee. Kama mnavyo tukumbusha kila siku, hii nchi ni ya CCM na mizani ya haki mmeishika. Kitu ambacho hamuwezi kutuzia ni kulalamika. Na tutaendelea kulalama.

Amandla...
 
Sasa hivi CDM wanamuona Mama hafai, wameshaanza kumkumbuka Magufuli!!
Usijidanganye. Chadema toka mwanzo walimuamini Mheshimiwa Rais aliposema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Kinachotokea sasa ni uthibitisho wa hilo.

Amandla...
 
Mungu akurehem maana upo tu na hujui ulitendao, katika watu wa ajabu leo tuliojibishana nao , umekua mbarikiwa Sasa sijui kivipi! Au ni majaribu? Mungu ananiambia umebarikiwa ila sijui , na nafunga mjadala simjibu mtu katika uzi huu, imekua na itakua Kama ilivyo,
kasali Sasa , haijatawai tokea kwangu , ukidhalau sawa ,ukizingatia sawa , ila hapo ulipo nakwambia umebarikiwa, kaubiri habari hii pale uonapo ninachokwambia kipo na kutokea, mda wowote upato matokeo chanya katika Maisha YAKO ndani ya siku 47 kamtolee sadaka mungu wako na KWA imani YAKO
thanks
 
Hamna mtu mwenye ubavu wa kuzuia kesi hiyo iendelee. Kama mnavyo tukumbusha kila siku, hii nchi ni ya CCM na mizani ya haki mmeishika. Kitu ambacho hamuwezi kutuzia ni kulalamika. Na tutaendelea kulalama.

Amandla...
Well,

Jambo jengine ambalo hatuwezi kuwazuia nalo ni kutukana watu.

Endeleeni kutukana ovyo
 
sasa chadema muamke badala kudeal Na global issues..... inabidi muanze kudeal Na national and individual issues like this..... sisi neutrals tunawashangaa tu mnavyochanganya mambo yote Kwenye kibubu kimoja..... hamkeni nyie sio chama cha kidunia..... come down to your fundamentals.....
 
Mama ukimalizana na mbowe mgeukie huyu nguchiro anaeitwa gwajima,ondoa taka taka hiyo kabisa
 
SAMIA SULUHU Nchi tiyari imeshakushinda hii. Najua siyo wewe uliteyetoa maagizo haya ila ni wapambe wako wanaokushauri vibaya ukiamini kuwa kumpa Mbowe kesi ya Ugaidi itakurahisishia kuongoza Nchi. Bahati mbaya umeshauriwa vibaya sana.
Says the guy who doesn't lead even 10 households
 
Mpaka mtajane!

Ukifika muda wake mamlaka zitakutafuta ueleze, aliyesema atamnyoa Mama alikuwa ni kiongozi au sio kiongozi???? Kwa sasa tunawataka nyote mkae kwa kutulia.
 
Well,

Jambo jengine ambalo hatuwezi kuwazuia nalo ni kutukana watu.

Endeleeni kutukana ovyo
Matusi yanategemea umesimamia wapi. Watu wakisimama bungeni na kusema kuwa walifanyiwa visivyo wakiwa mahabusu wewe utaona ni mapambio. Watu wakisimama na kuwaita wabunge wenzao ni makahaba utagonga meza kwa furaha. Akisimama mbunge na kuomba ruhusa amuue kiongozi wa chama pinzani una haki ya kufurahia. Akisimama kiongozi wa chama chako na kutangaza wazi bila kificho kuwa safari iliyopita walikosea lakini safari ijayo watamchoma sindano ya sumu kiongozi wa chama cha upinzani utampigia makofi na kumpa ukuu wa wilaya. Akisimama polisi ambae hatakiwi kuwa na upande wowote na kumbeza kiongozi wa chama cha upinzani utaona sawa tu maana hana haki katika nchi yako. Vijana wa chama chako wakipigwa picha wakiwa wanamshambulia kwa matofali mwanachama wa chama kingine unaona sawa tu maana kama nilivyosema, hii ni nchi yako na inabidi watu watambue hilo. Kwa mtaji huo tushangae kipi kutoka kwenu?

Amandla...
 
Hakuna kesi hapo yaani toka may mpaka August mbowe alikuwa hotelini tu anapanga njama?


Kweli tuna polisi pumpuchi kabisa ndio maana nyuso zao kama k.....u......m.....a
 
Mpaka mtajane!

Ukifika muda wake mamlaka zitakutafuta ueleze, aliyesema atamnyoa Mama alikuwa ni kiongozi au sio kiongozi???? Kwa sasa tunawataka nyote mkae kwa kutulia.
Hamna aliyekaa kwa kutulia. Usijidanganye kwenye hilo. Watu wataendelea kusikitika tu.

Hiyo mamlaka itakayo mtafuta Fundi Mchundo kuhusu nafasi ya Mdude Nyalali katika Chadema itakuwa haimtendei haki. Lakini sitashangaa maana tushavuka rubicon.

Na kwa vile tumeishia kwenye vitisho naona tusiendelee na mjadala wetu.

Amandla...
 
Kwani wewe unajua Nini mkuu. Akikosea Mbowe sio kosa. Eti are they seriously going on with it? Who are these „THey. „
Issue sio kukosea issue ni muda!! Kwamba gaidi anakuwa gaidi pale tu anapotaka katiba mpya sio pale anapokuwa ametulia kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…