Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Ni matusi gani hayo na alitukana nani?
 
Siwez kuongea mpaka ntakapojua ni ugaidi gani
 
Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Watanzania wa leo wengi wanajitambua, hawako tayari kutumiwa kama daraja la kufikia mafanikio ya mwanasiasa yoyote yule. Kama watoto wa Mbowe mwenyewe hawajaonesha mfano wa kuingia barabarani kumpigania baba yao, ni vipi vijana wengine wataacha shughuli zao wakampiganie baba wa mwenzao?
 
CDM, hii hoja ambayo mnatumia hata vitisho ili iwekwe mezani, ya katiba mpya, ina umuhimu huo kwa sasa? Je hiyo njia mnayotumia ni sahihi?
Tumuache mama aongoze. Tunamzingua acha naye atuzingue kidogo
 
Yaani Mbowe anakatisha msiba wa kaka yake anatamka wazi kuwa anakwenda Mwanza kifanya kongamano hata kama polisi wamezuia tutafanya kwa nguvu kama kutukamata basi wanakame mimi, na kikikamatwa sitaki dhamana sasa mnalia lia nini.
Hiyo ndiyo 'audio' ya maneno aliyosema Mbowe?

Kwa hiyo kuyasema hayo maneno kama kweli aliyasema, ndiyo sababu ya kutuhumiwa kwa ugaidi?

Hakuna "anayelialia" hapa, watu wanatoa maoni yao kuhusu uonevu unaoonekana kufanyika.

Kama kweli kuna uhalifu, hatua zinazochukuliwa juu ya Mbowe ni kama ni za kumkomoa yeye na wafuasi wake. unaoonekana kuwa uonevu wa maksudi.
 
Kwani wewe unajua Nini mkuu. Akikosea Mbowe sio kosa. Eti are they seriously going on with it? Who are these „THey. „
We mjinga tu, huu ni ushetani usiovumiliwa.

Magaidi mliwatoa juzi kati na walikua wameshadhuru jamii, mbowe katenda kosa gani la kudhuru jamii, mlimuacha jiwe bila kumshitaki kwa ugaidi wa kuua kina saa nane mnabambikiza watu kesi za kijinga.

God is gud all the time
 
Mmachame alishawahi kuuza ngada miaka ya nyuma?.

Pale Bilicanas miaka ile ya 1980-90 kulikuwa na bro mmoja anazungukazunguka maeneo yale akiuza hizo vitu.
 
Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Unafikiri changamoto iko wapi?
 
Tanzania ni nchi inayo heshimu na kufuata Utawala wa sheria.
Hakuna aliye juu ya sheria.
sheria haiangalii hali ya mtu, cheo chake, uwezo wake, tajiri au masikini sote tuko sawa mbele ya sheria.
ukifanya kosa la kijinai utachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
ndicho kilicho tokea, sasa hapo inabaki kuwa kazi ya mahakama kutoa haki.
 
Inawezekana kabisa mbowe alifanya kitu kumlenga sabaya
 
Umesahau na Muslim Brotherhood kilichopigwa ban Misri, Ooh Mama anaupiga mwingi, huo ndo Mwingi sasa

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Tangulia tu mkuu tupo nyuma yako!
 
Samia anaichimbia hii nchi kaburi. Hii ndio serikali inayosema eti polisi wasiwabambikie watu vyesi sasa hapa ujinga gani wanafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…