Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matusi gani hayo na alitukana nani?Matusi mliyotukana baada ya zile kauli za Rais siku kakutana na wahandishi wa habari yalikuwa madogo? Yale maswali yalikuwa ya papo kwa papo, bado mlikuwa na room ya kuhoji majibu aliyoyatoa kistaarabu, na angeweza kubadilisha majibu yake, nyie mkaopt njia ya matusi
Kuna wakati ulianza kuonyesha dalili nzuri za kuwa na akili timamu, nani kazidi kukuloga sasa na kuelekea kurudi ulikokuwa mwanzo?Huwezi kuelewa, uwezo wa kudadavua mambo mdogo sana.
Watanzania wa leo wengi wanajitambua, hawako tayari kutumiwa kama daraja la kufikia mafanikio ya mwanasiasa yoyote yule. Kama watoto wa Mbowe mwenyewe hawajaonesha mfano wa kuingia barabarani kumpigania baba yao, ni vipi vijana wengine wataacha shughuli zao wakampiganie baba wa mwenzao?Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
CDM, hii hoja ambayo mnatumia hata vitisho ili iwekwe mezani, ya katiba mpya, ina umuhimu huo kwa sasa? Je hiyo njia mnayotumia ni sahihi?Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi.
Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Tulimanjwa Majigo amesema kuwa Mbowe anaunganishwa na Washtakiwa wengine watatu waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka mengine yote ya ugaidi wanayodaiwa kuyatenda mwaka 2020.
Katika kosa la kwanza, Mbowe anadaiwa kula njama ya kutenda kosa hilo kati ya Mei na Agosti 2020 akiwa katika Hoteli ya Aishi Mkoani Kilimanjaro, kosa la pili la Mbowe ni kutoa fedha kwa ajili ya kufadhili ugaidi kinyume cha sheria ya ugaidi kati ya tarehe hizo tajwa.
Baada ya kusomewa maelezo Mbowe hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka.
Kesi imeahirishwa hadi Agosti 5, 2021 na upelelezi umekamilika ambapo zinasubiriwa nyaraka ili ihamishiwe Mahakama Kuu
Hiyo ndiyo 'audio' ya maneno aliyosema Mbowe?Yaani Mbowe anakatisha msiba wa kaka yake anatamka wazi kuwa anakwenda Mwanza kifanya kongamano hata kama polisi wamezuia tutafanya kwa nguvu kama kutukamata basi wanakame mimi, na kikikamatwa sitaki dhamana sasa mnalia lia nini.
We mjinga tu, huu ni ushetani usiovumiliwa.Kwani wewe unajua Nini mkuu. Akikosea Mbowe sio kosa. Eti are they seriously going on with it? Who are these „THey. „
Mmachame alishawahi kuuza ngada miaka ya nyuma?.Beatrice Kamugisha kuwa mpole, subiri uone charge sheet ndiyo urudi kusoma ulichoandika.
Mbowe anaishi nyumba ya vioo halafu anarusha mawe nje. Lazima watakurudishia.
Maisha ya Mbowe kiuchumi na kibiashara kafanya kazi zote halali na chafu. Siku zote Deep State ipo kazini. Huwezi kuwa drug trafficker ukataka uje ututawale Watanzania.
I hope umenielewa
Free man they will never never lock you downFreeman
Unafikiri changamoto iko wapi?Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Umesahau na Muslim Brotherhood kilichopigwa ban Misri, Ooh Mama anaupiga mwingi, huo ndo Mwingi sasaTatizo na nyinyi Chadema mlianza shobo mapema sana kwa Samia mlikuwa nyinyi ndo mmepewa kazi ya kusifu na kuabudu ghafla mwenyekiti wenu kajitokeza alipojificha na kutaka kukutana na Rais lile tu nikajua bhasi siku zote mwanamke ukimshobokea sana anakudharau hata kama alikuwa na interest na ww [emoji23][emoji23]
Jpm pamoja na mabaya yake wanayosema Chadema hakuwahi kumpa kesi ya Ugaidi mwenyekiti wa wachaga na Chadema Mr Mbowe . Sasa Serikali ya Muhula wa 6 mliyokuwa mnaipamba na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu kwa roho mbaya zenu juu ya JPM, inamweka ndani Mwenyekiti wenu na Kesi ya Ugaidi
Mbowe yupo kundi Moja na Osama na Chadema ni Chama cha kigaidi kikiungana na Abu Sayyaf Group (ASG),Afghan Taliban,Al-Nusrah Front, Al-Shabaab,Ansar al-Sharia, Ansar Bayt al-Maqdis (ABM), Al-Qa'ida Core (AQ)
Tangulia tu mkuu tupo nyuma yako!Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po