Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Mi huwa najiuliza hivi Hawa polisi,wanaoendesha hizi kesi za hovyo kwa kufungua mashitaka yasio ya maana,huwa wanapataje usingizi usiku.
Jiulize wakati Chadema wanashangilia kifo cha JPM huku nchi nzima inahuzunika, walikua wanapataje usingizi? Ukipata jibu ndo litakua jibu pia la swali lako.
 
Pengine damu yako sio ya Watanzania. Tangu Chadema oops ''Chaga gang'' ianzishwe mwenyekiti ni Mbowe tu, watu wana-graduate na kuanza kazi. The only dear leader, is still there. Are you in Korea?
Endelea kujifariji. Viiongozi wengi wa afrika ni mambumbumbu hujifunza kwa kupitia makosa baada ya madhara makubwa kutokea ,kuna kikundi kidogo kilichoshikilia nchi kinatupeleka huko na tutafika tu kabla ya 2025
 
Mbona jina lenyewe tu linajieleza vizuri au kwakuwa imetumika lugha ya malkia kidogo imekuchanganya.
Si unajua tena sisi tuliosoma enzi za mkoloni ndo hivyo, afadhali nyie mliosoma shule za kata 😂😂
 
Kuna jambo alitaka fanya kama inavyodaiwa kama anavyoshutumiwa ili ku create tension serikalini, CCM na Samia waingie kwenye mtafaruku then wananchi waamke then iwe fursa.
Thus why I don't like politics.
CCM watu wa ovyo sana...nchi ina ombwe la uongozi.
Hujaona hati ya mashitaka?
Ni ya Augast 2020 Sasa Samia anahusikaje
 
Mh Mbowe ana achiwa kutuliza hali ambayo haina afya na ita ambana na changes ktk maeneo fulani fulani. Ikumbukwe mkuu wa nchi alisha sema hataki kesi za kubambikia hivyo kimya chake kina mshindo msije fikiri kuna mtu anafurahia aina hii ya siasa.

Siasa za kubambikizana kesi nk zinachafuwa taifa nakukifanya chama cha ccm kutopendwa. Hivyo kama mahakama itathibitiasha uhalisia wa mashitaka nakukuta hayana mashiko atakuwa huru.

Kiufupi Hoja zijibiwe kwa hoja kulikuwa na njia nyingi zaki intelligence kuzuwia kikao chao ila sio aina hii imetumika. Kwahiyo kama unabii unajieleza Mh Mbowe ata achiwa huru soon. End
 
Tuwashukuru watanzania ni wastaarabu sana.Yapo mambo mengine hata kwa akili yakawaida huwezi hitaji ushahidi wa kimafya.

Mfano wabunge 19.njia iliyotumika ingeweza kuamsha hasira nakuwadhuru wale wabunge kwa usaliti kwa kumsingizia mbowe anajua.
Tumshukuru Mungu kuwa taifa vumilivu.
 
Ukisoma nje ya box hii kesi ingeingiza watu Muhimu sana katika jamii kumtetea Mbowe ...so aliyeinjinia hana mema kabisa....
 
Hivi yule aliyekuwa miongoni mwa mabodyguard wa Mbowe aliyewahi kukamatwa August 2020 kwa tuhuma za ugaidi, mbona huwa hazungumziwi au kesi ikimalizika kimyakimya?
 
Kuna Puuzi Moja khalid Shaban limwalimu limwanachama la TLP liligombea ubunge Kigoma likaangukia pua ndiyo lilianza kusambaza propaganda kwamba mbowe amewalipa watu waue magufuli supporters.
 
Back
Top Bottom