Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
NgawethuAre they seriously going through with it?
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NgawethuAre they seriously going through with it?
Amandla...
Linaitwa mbowe weed.Me nataka nijue hayo ilo kundi la kigaidi jina lake linaitwaje
Maana makundi ya kigaidi yote yana majina
Jiulize wakati Chadema wanashangilia kifo cha JPM huku nchi nzima inahuzunika, walikua wanapataje usingizi? Ukipata jibu ndo litakua jibu pia la swali lako.Mi huwa najiuliza hivi Hawa polisi,wanaoendesha hizi kesi za hovyo kwa kufungua mashitaka yasio ya maana,huwa wanapataje usingizi usiku.
Natoa mwanga kwa wanaoshangaa Mbowe kushtakiwa. Nawakumbusha tu kuwa Mbowe siyo msafiKwani humshitaki kwa kosa hilo? Acha maneno ya kusimuliwa.
Endelea kujifariji. Viiongozi wengi wa afrika ni mambumbumbu hujifunza kwa kupitia makosa baada ya madhara makubwa kutokea ,kuna kikundi kidogo kilichoshikilia nchi kinatupeleka huko na tutafika tu kabla ya 2025Pengine damu yako sio ya Watanzania. Tangu Chadema oops ''Chaga gang'' ianzishwe mwenyekiti ni Mbowe tu, watu wana-graduate na kuanza kazi. The only dear leader, is still there. Are you in Korea?
Si unajua tena sisi tuliosoma enzi za mkoloni ndo hivyo, afadhali nyie mliosoma shule za kata 😂😂Mbona jina lenyewe tu linajieleza vizuri au kwakuwa imetumika lugha ya malkia kidogo imekuchanganya.
OK. Tusubiri huo ushahidi watakaoutoa mahakamani.do you know what's behind the curtain? kwa huyo mwenyekiti wenu? angeamua kufanya uovu angekuja kukuaga wewe?
Hujaona hati ya mashitaka?Kuna jambo alitaka fanya kama inavyodaiwa kama anavyoshutumiwa ili ku create tension serikalini, CCM na Samia waingie kwenye mtafaruku then wananchi waamke then iwe fursa.
Thus why I don't like politics.
CCM watu wa ovyo sana...nchi ina ombwe la uongozi.
Tuamini justice system kwa mitindo hii...!!I hope We believe in justice system
Ni mimi, ulikuwa hunielewi tu, usini judge kwa vile nilimpinga Mwendazake. Siwezi unga mkono watu wanatutoa kwenye reli.Hivi ni wewe!!? Au naota!! Hahahahahaha....!!