Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.
Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.
Nchi ya hovyo sn hiiMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi...
Jinga sana wew,mazombie wenzio tu ndio watakuelewaKukusanya watu wakati wa janga(epidemic) kama korona ni ugaidi, acha ashughulikiwe!
Na zile hela wanazopokeaga Nairobi baada ya Lissu kuzisomba toka ulaya wanadhani vipepeo hawazionagi? Vipepeo wako katika inner circle ya Chadema,mnakaa mnapanga, zinavujishwa...
Tunasubiri na Gwajima boyHuko nyuma wanasiasa kama Mbowe walikuwa na kiburi na kujigamba kufanya lolote.
Wakutafuna michango na ruzuku ya chama sawa, wakianzisha vikundi vya makomandoo sawa tu...
Mama ni kama kajimwagia pupu ananukaSasaivi naona "Mama anaubutua mwingi, hadi unatoka nje"
Kweli nyinyiem ni ile ile...
Mbowe alihemka kupita maelezo swala wameambiwa apatiwe mda akawa hataki na kuhamasisha maandamano nchi nzima huyo mdude ndo kwanza anajiropokea atamnyoa mama, Sasa huko ka sikupimana imani ni nini, ni nchi gani ilijengwa kwa maandamanoSio msemaji lakini aliyatamka yale maneno kwenye kongamano halali la CHADEMA, na kwakua hakuna kiongozi yeyote wa chama aliyejitokeza kuipinga kauli ile ni wazi kuwa ilikuwa na baraka zote...
Tara 5 August kesi inaendelea, kama wewe unadhani wanamtisha sawa. Mimi nimetoa ushauri.
Mbowe alihemka kupita maelezo swala wameambiwa apatiwe mda akawa hataki na kuhamasisha maandamano nchi nzima huyo mdude ndo kwanza anajiropokea atamnyoa mama, Sasa huko ka sikupimana imani ni nini, ni nchi gani ilijengwa kwa maandamano
Hyo ilikuwa france na jamii yetu vitu viwili tofauti, why always using njia zilizo fail ukitaka kutimiza malengoFrance, kasome vitabu vya historia.
Hyo ilikuwa france na jamii yetu vitu viwili tofauti, why always using njia zilizo fail ukitaka kutimiza malengo
Ubwabwa mbona nakula vizuri tu kwa mama yako.Mkuu kwa Magufuli sikukuona kabisa vipi mama kashaanza kuwapa ubwabwa wa bure huko misikitini?
Sasa hapo ndo watapoteana kabisa, watapigwa mpaka wachake.Labda watafute nchi yoyote itakayowapa hifadhi wakati wanaandaa hao vijana wa kigaidi ila sio Tz.Tumieni wembe ule ule kigogo kawambia azisheni makundi ya uasi mitaani muendelee kufanya ugaidi.
Mandela Mandela apewe heshima. Alitoroka South Africa kwa kutumia passport ya TanzanIa kwa jina la la Hosea Mwakangale. Mnainajisi nchi yetu tukufu kwa kumuhusisha na magaidi wakikabila wanajengea biashara zao.KESI IMEFIKA PATAMU, SASA DUNIA YOTE ILIYOKUWA HAIFAHAMU MATENDO YA CCM YA AWAMU YA 5 NA YA SASA YA AWAMU YA 6 YATAANIKWA NA KUFAHAMIKA KINAGA UBAGA....
Watu wanadhani hii kesi ni simple, na kuna yule bodyguard wa Mbowe aliekamatwa na kupewa tuhuma za ugaidi enzi za JPM,mpaka leo yupo rumande na Mbowe hajawahi kuzingumza chochote.Dereva wa Mbowe alivyokamatwa ndio kaongea yote haya
Mbowe alikaa kimya muda wote dereva wake yupo ndani kwa nini hakuwaeleza nyumbu hii habari?
Huu ni ukweli ambao CDM hawataki kuusikia, sasa wananyolewa waoNafikiri Rais alikuwa tayari kuzingumza na upinzani mpaka pale mlipotangaza Mpango wa kumnyoa mbele ya waandishi wa habari.
Namaanisha huu upande wa pili wa SSH,umefunuliwa na upinzani wenyewe.