Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hata wewe Kamanda wa Lumumba umekata tamaa?
Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.
Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.