CHADEMA wanazipenda confrotational politics ila mwisho wa siku wao ndio huumia, ila nimejifunza kitu, hizi kesi huwafanya kupiga hela za michango tu hamna lolote.Sio msemaji lakini aliyatamka yale maneno kwenye kongamano halali la CHADEMA, na kwakua hakuna kiongozi yeyote wa chama aliyejitokeza kuipinga kauli ile ni wazi kuwa ilikuwa na baraka zote...
Kisasi ni cha Bwana. maandiko yanasema.Marinda ya dj gaidi huenda yakatatuliwa na nyampara huko segedance! π€£
ujinga wa mbowe ni kutokuwa na subira yaani mtu muungwana kama mama anawaambia tuwe na subira katiba inakuja anatokea mbowe hatutaki lazima sasa hivi anatokea mdude nitamnyoa huyo mama yenu kwakweli hata angekuwa huyo mbowe ndiyo yuko madarakani asingekubali ujinga wake anaoufanya sasahiviNchi inaangaika sana hii.Imetoka kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi sasa hivi wameamia kwenye ugaidi.Hao viongozi wangekua wanaangaika hivi kuleta maendeleo kwa hakika tungekua mbali sana.ila nasikitika kusema akili zetu ni kiasi kidogo sana.Ujinga kama huu utakuja kua na mwisho mchungu siku moja.
Duh JF kuna vichaa ππππMlikuwa mnawacheka Mataga , sasa kilio kimeamia kwenu ahahahhahah
Endelelea kurembua utapata bwanaKukusanya watu wakati wa janga(epidemic) kama korona ni ugaidi, acha ashughulikiwe!
Na zile hela wanazopokeaga Nairobi baada ya Lissu kuzisomba toka ulaya wanadhani vipepeo hawazionagi? Vipepeo wako katika inner circle ya Chadema,mnakaa mnapanga, zinavujishwa!
Angalia kiwango kikubwa cha usaliti wa viongozi wakuu wa CDM, Mashinji, aliyekuwa katibu mkuu Bavicha sasa waziri, angalia wabunge wa COVID, chama kimeingiliwa siafu,wametoka baadhi tu,wengi wamo bado
Endelea kurembua mzutii upakuliwe vizuri,bladifakenTatizo na nyinyi Chadema mlianza shobo mapema sana kwa Samia mlikuwa nyinyi ndo mmepewa kazi ya kusifu na kuabudu ghafla mwenyekiti wenu kajitokeza alipojificha na kutaka kukutana na Rais lile tu nikajua bhasi siku zote mwanamke ukimshobokea sana anakudharau hata kama alikuwa na interest na ww [emoji23][emoji23]
Jpm pamoja na mabaya yake wanayosema Chadema hakuwahi kumpa kesi ya Ugaidi mwenyekiti wa wachaga na Chadema Mr Mbowe . Sasa Serikali ya Muhula wa 6 mliyokuwa mnaipamba na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu kwa roho mbaya zenu juu ya JPM, inamweka ndani Mwenyekiti wenu na Kesi ya Ugaidi
Mbowe yupo kundi Moja na Osama na Chadema ni Chama cha kigaidi kikiungana na Abu Sayyaf Group (ASG),Afghan Taliban,Al-Nusrah Front, Al-Shabaab,Ansar al-Sharia, Ansar Bayt al-Maqdis (ABM), Al-Qa'ida Core (AQ)
Kweli ccm akili huwa hamna,mmebaki kutegemea policeccmYule mama anaongoza nchi kwa kufuata sheria
Kama Freeman anahusika na hizo tuhuma atashughulikiwa, kama hahusiki ataachiwa
Tuache vyombo husika vifanye kazi yake
Kweli ccm akili huwa hamna,mmebaki kutegemea policeccmView attachment 1869854
Hawa ndo wanachama wa Chadema tena utakuta na huyu anataka katiba mpya πππEndelea kurembua mzutii upakuliwe vizuri,bladifaken
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi.
Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Tulimanjwa Majigo amesema kuwa Mbowe anaunganishwa na Washtakiwa wengine watatu waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka mengine yote ya ugaidi wanayodaiwa kuyatenda mwaka 2020.
Katika kosa la kwanza, Mbowe anadaiwa kula njama ya kutenda kosa hilo kati ya Mei na Agosti 2020 akiwa katika Hoteli ya Aishi Mkoani Kilimanjaro, kosa la pili la Mbowe ni kutoa fedha kwa ajili ya kufadhili ugaidi kinyume cha sheria ya ugaidi kati ya tarehe hizo tajwa.
Baada ya kusomewa maelezo Mbowe hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka.
Kesi imeahirishwa hadi Agosti 5, 2021 na upelelezi umekamilika ambapo zinasubiriwa nyaraka ili ihamishiwe Mahakama Kuu
Mshauri wao Kigogo kawambia watafute nchi wakaanzishe mapambano.Sasa hapo ndo watapoteana kabisa, watapigwa mpaka wachake.Labda watafute nchi yoyote itakayowapa hifadhi wakati wanaandaa hao vijana wa kigaidi ila sio Tz.
Unatetea upuuzi huu seriously?
"They" ni hao wanaomfungulia mashtaka. Hao ambao Mkuu wa Nchi alituambia wana tabia ya kuwabambikizia watu kesi.
Amandla...
Badi sio rahisi, nchi gani hiyo itakayokubali kufuga magaidi CDM? Tena kwa CCM hiihii yenye mzizi ya kimahusiano na nchi nyingi za kiafrika?Mshauri wao Kigogo kawambia watafute nchi wakaanzishe mapambano.