Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Watu wanadhani hii kesi ni simple, na kuna yule bodyguard wa Mbowe aliekamatwa na kupewa tuhuma za ugaidi enzi za JPM,mpaka leo yupo rumande na Mbowe hajawahi kuzingumza chochote.
Ndio huyo ametapika kila kitu,Mbowe alidhani yameisha
 
Shida yote hiyo ya nini? Si munamwita mwamba? Umwamba umetorokea wapi? Na huko gerezani ndo aoneshe kutoogopa corona kabisa! Ushujaa mwingine wa kipumbavu.
 
Kumbe hujui chochote kuhusu siasa mashinji alikua katibu wa bavicha ipi?
 
Amemuelewa
 
KESI IMEFIKA PATAMU, SASA DUNIA YOTE ILIYOKUWA HAIFAHAMU MATENDO YA CCM YA AWAMU YA 5 NA YA SASA YA AWAMU YA 6 YATAANIKWA NA KUFAHAMIKA KINAGA UBAGA

Kesi hii ya Mbowe itakuwa ktk vitabu kama kesi ya serikali ya makaburu dhidi ya Nelson Mandela. Kesi hii itasomwa ktk historia baada ya CCM kungolewa kutoka madarakani kwa kupitia uchaguzi huru kama kesi ya : Mpinzani Freeman Mbowe ndani ya 'mahakama' za CCM. ifahamike katika mabano neno 'mahakama' ni kuwa CCM inataka kuburuza Mahakama zitumike vibaya pamoja na mfumo wa kusimamia / kuchunguza za jinai (criminal justice system) nzima, lakini imani yetu bado ipo kuwa Mahakama hapa bila "mabano" ni mhimili huru na itatenda haki na kukataa mbinyo wa aina yoyote ile toka upande wowote.

Historia inasema makaburu waliokuwa ktk serikali ya kibaguzi ya Afrika ya Kusini iliona waAfrika raia wengine waliokuwa wanadai kuwa watu-uhuru, kutaka demokrasia shirikishi na Marndeleo ya watu wote walikuwa ni hatari na wangeweza kuchelewesha maendeleo ya vitu kama madaraja, reli, flyovers pamoja ni miradi mingine mikubwa iliyokuwa ya mfano barani Afrika. Madai hayo ya serikali ya kibaguzi ya wachache ya miaka hii yanarudiwa na CCM miaka hii ya 2015 - 2025. Na CCM pamoja na serikali yake kudai wapinzani ni watu hatari wasio na uzalendo na wasioitakia Tanzania maendeleo.

Soma utetezi wa Nelson Mandela alipofikishwa mbele ya korti na utetezi huo wa Nelson Mandela kuenziwa na watu wote duniani na taasisi kubwa za kimataifa na vyuo vikuu vijana kufunguliwa macho juu ya tawala kandamizi za kibaguzi, katili na vinazokandamiza utu wa watu na haki zao kwa kisingizio cha kujenga uchumi, madaraja, flyovers, mabwawa ya umeme n.k
 
Mama anajitahidi kuupiga mwingi, ameshahamisha agenda ya kudai katiba mpya na sasa tunadai Uhuru wa Mbowe..

Stupid Government
 
Duh...what kind of question is this?
Ulitakiwa uandike "......what kind of a question is this?". Kiswahili ni lugha pendwa, usilazimishe lugha za watu kama huzijui. Kilangila.
 
Mkuu, kwa andiko lako hili, unamshawishi sana DPP kufuta kesi ili kumnyima Mbowe fursa aliyopewa Mandela.

Kwa andiko lako hili, umeibua mfano mzuri sana wa haya tunayoyaona leo yakifanywa na CCM, chama kilichokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa watu, leo ndio kikigeuka kuwa mkandamizaji kama ilivyokuwa makaburu.

Mfananisho huu unahitaji kuwekewa nguvu zaidi ili hata hao wasioona ukaburu huu wauelewe vyema.
 
Mkuu, kwa andiko lako hili, unamshawishi sana DPP kufuta kesi ili kumnyima Mbowe fursa aliyopewa Mandela.

Kwa kuongezea kuhusu mazingira ya kesi hii ya Freeman Mbowe na wenzie.

Kama kesi hii ingeendeshwa kwa uwazi "live" na pia waandishi nguli wa habari za kimahakama kuruhusiwa kuwepo ndani ya korti basi mheshimiwa Freeman Mbowe angeweza bila shaka kuuvaa uhusika wa Nelson Mandela ktk zama za 2021.

Lakini tumeona jinsi kesi ilivyotajwa ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu imefanywa na kuripotiwa kwa usiri na hata vyombo vya habari kupigwa chenga. Imebaki tukisubiri Agosti 5 2021 itakapotajwa tena ktk Mahakama Kuu , mahakama yenye mamlaka ya kusikiliza kesi nzito kama hii.

Nitoe rai kwa vyombo vyote vyenye maslahi mapana na Kesi hii vijitayarishe kuwepo, kufuatilia na kuripoti bila chenga na kuomba wasiwekewe zuio la aina yoyote ili umma waTanzania ktk ujumla wao wapate haki ya kupata habari sahihi juu ya mwenendo mzima wa kesi toka siku ya mwanzo mpaka hitimisho lake.

Kwa kufanya hivyo kutakuwa hakuna haja ya watu kujazana Mahakama Kuu kwani watakuwa wanafuatilia toka maeneo ya maskani zao na pia vyombo vya usalama kutopata kazi kubwa wa kuwepo kwa wingi mahakama kuu kufanya kazi za ziada za kiusalama.

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa


Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.




Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​

The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films
 
Matusi yako wapi hapo?! Acha undezi
 

Muda Muafaka kwa awamu ya 6 kujijengea legacy yake, ijifunze kutoka South Africa ya kipindi cha ubaguzi wa rangi​


FW de Klerk - 'The new South Africa after twenty years'

F.W. DE KLERK: Frederik Willem de Klerk (born 18 March 1936), was the seventh and last State President of apartheid-era South Africa, serving from September 1989 to May 1994. De Klerk was also leader of the National Party (which later became the New National Party) from February 1989 to September 1997. De Klerk brokered the end of apartheid, South Africa's racial segregation policy, and supported the transformation of South Africa into a multi-racial democracy by entering into the negotiations that resulted in all citizens, including the country's black majority, having equal voting and other rights. He won the Félix Houphouët-Boigny Peace Prize in 1991, the Prince of Asturias Award in 1992 and the Nobel Peace Prize in 1993 along with Nelson Mandela for his role in the ending of apartheid. He was one of the deputy presidents of South Africa during the presidency of Nelson Mandela until 1996, the last white person to hold the position to date. In 1997 he retired from active politics. As of 2011 he remains active as a lecturer internationally. ABOUT THE OXFORD UNION SOCIETY: The Union is the world's most prestigious debating society, with an unparalleled reputation for bringing international guests and speakers to Oxford. It has been established for 189 years, aiming to promote debate and discussion not just in Oxford University, but across the globe.
Source : OxfordUnion
 
F.W. de Klerk Interview 2013


Mount Madonna School seniors interview former South Africa President F.W. de Klerk as part of the Ngikhona Project 2013 journey to South Africa. Filmed by Devin Kumar, Olorin Etemad-Lehmer, Ashley Mayou. Edited by Devin Kumar Produced by Ward Mailliard and Mount Madonna School.
Source : Mount Madonna School values
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…