Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kukusanya watu wakati Mh. Rais Samia anapita huko barabari ni uzalendo sio!!??
Kukusanya watu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika ni uzalendo sio!!??
Mungu Muumba tu aliyewaumba ndiye anayeweza kuelewa viumbe vyake namna yako.
 
Na Nelson Mandela. Na Stokely Carmichael. Na Samora Machel. Na Che Guevara. Na Malcolm X. Na Fidel Castro.
Na acheni uongo. Mbowe siku zote alikuwa anasema hamna tofauti katika serikali ya CCM. Yeye na wenzake wamekataa katakata "kuiabudu" serikali iliyopo. Na hili linathibitisha walikuwa sahihi.

Amandla...
 
Faithfulness to God is our first obligation in all that we are called to do in the service of building our nation. 😕
 
Kukusanya watu wakati Mh. Rais Samia anapita huko barabari ni uzalendo sio!!??
Kukusanya watu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika ni uzalendo sio!!??
Mungu Muumba tu aliyewaumba ndiye anayeweza kuelewa viumbe vyake namna yako.
Ya Mbowe mwachie Mbowe. Ni mazito huyawezi, ikiwemo tuhuma za ugaidi.
 
Nafikiri Rais alikuwa tayari kuzingumza na upinzani mpaka pale mlipotangaza Mpango wa kumnyoa mbele ya waandishi wa habari.

Namaanisha huu upande wa pili wa SSH,umefunuliwa na upinzani wenyewe.
 
Unaangaika tu mkuu. Mbowe na CCM ni kitu ki1 na huo ni mkakati maalum uliopangwa kati ya CCM na Mbowe ili kipindi cha uchaguzi (2025) Mbowe atangaze kususia uchaguzi. Lengo ikiwa ni mama apete kiulaiiini. SIASA NI SAYANSI BWASHEE
 
Mbona mnashangaa sana Mbowe kushatakiwa? Hakuna mtu mwenye crime history ndefu kama Mbowe ila mfumo ulikuwa unammezea tu. Miaka ya 1985- 1990s alikuwa ni drug trafficker. Kuanzia 1990 amefanya biashara kwenye nyumba ya NHC kwa kutapeli mpaka 2016 Magufuli alipovunja Bilcanas.
 
Unaangaika tu mkuu. Mbowe na CCM ni kitu ki1 na huo ni mkakati maalum uliopangwa kati ya CCM na Mbowe ili kipindi cha uchaguzi (2025) Mbowe atangaze kususia uchaguzi. Lengo ikiwa ni mama apete kiulaiiini. SIASA NI SAYANSI BWASHEE

Kususia kimaslahi ni bora kuliko kushiriki ukiwa unajua huwezi pata kitu
 
SAMIA SULUHU Nchi tiyari imeshakushinda hii. Najua siyo wewe uliteyetoa maagizo haya ila ni wapambe wako wanaokushauri vibaya ukiamini kuwa kumpa Mbowe kesi ya Ugaidi itakurahisishia kuongoza Nchi. Bahati mbaya umeshauriwa vibaya sana.
 
hapa ndo mwisho wa ubongo wakooo au umepiga hendibleki? 👹 🙄 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…