Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Nyani Ngabu, yote hayo at what cost? Atarudi wapi kutoka hapa walipofika?
However you look at it ,sio picha nzuri kwa serikali.
Wanasema wako tayari kuzungumza na upinzani, kwa hali hii watazungumza na nani?
This is a dark day for our country.

Amandla...
Of course! It’s not a good look.

Although I’m not privy to the evidence that the police have against him, but if history is any guide, this follows a pattern of trumped up frivolous charges against opposition politicians, just like many others in the past.

Unamkumbuka yule somebody Lwakatare? Alikuwa sijui ni mkuu wa usalama wa CHADEMA..

Alikaa sana jela kwa tuhuma kama hizi hizi za ugaidi na mwishowe akaachiwa huru!

Hakuna jipya hapa.

Mbowe ataachiwa tu huru, tena bila masharti yoyote yale.
 
Ni bora awe dikteta kwa wanasiasa uchwara
Wanasiasa uchwara ni wale ambao enzi za Magufuli walikuwa wanapiga debe kuwa chanjo hazifai na mabeberu wana wivu sana na sisi na wanataka kutuua kupitia chanjo zao ila leo hii baada ya Magufuli kufa wanapiga debe kuwa chanjo zinafaa sana wala hazina shida na ni muhimu kwa Taifa.
 
Mpumbavu mkubwa ni wewe unayelazimisha tufanane
Ulitakiwa kuignore bila hata kuni quoate
mama D nini tena😂? Naona unajaribu kupambana na watu wasioelewa washike lipo baada ya kugundua kuwa Rais hatanii na anaupiga mwingi kwelikweli.
 
Muda sio mrefu tumeanbiwa kuwa anaumwa sana hajiwezi na polisi wamekataa kumpeleka hospitali, kuna ukweli wowote au zilikuwa ni tetesi tu kama ilivyokawaida ya BAVICHA?
Lissu alimshauri asiseme chochote wala kutoa ushirikiano! Hivyo hakuna ajuaye kama ni magonjwa au nini!
 
Mchaga na ugaidi wapi na wapi? mngesema kaiba pesa sawa lakini ugaidi? nafikiri serikali inajidhalilisha kwa hili.
Wewe ndo umekuja na hoja ya hivyo kabisa, kwamba Mtu akishakuwa mchaga tu basi hawezi kuwa gaidi? Kwamba ni bora wangemuita mwizi kwakua ndio sifa kuu ya wachaga?
 
Toeni nafasi kwa mahakama ifanye kazi kwa haki.

Kuwa mahabusu siyo kufa

Kama kosa linadhaminika basi anaweza kupata dhamana
walitaka afikishwe mahakamani, sasahivi hawataki aendelee kuwa mikononi mwa mahakama. wanataka nini sasa? Mahakama itatoa haki, na ninyi mnaosema hana kosa nendeni mkamtolee ushahidi kama huwa mnaishi naye. manake wengine hata yeye hawajui hata sura.mihemko tu.
 
abdalah mlawa ataishi nak ufia hukohuko nchi za nje, ndio mhaini wa kwanza. nilivyomsikia ile majuzi ana hasira balaa ya kupokonywa uraia. akwende zake h uko.
Mkuu huyu jamaa ni mshenzi sana.
 
Muda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.

UPDATE:


TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .

Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.

Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.

Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .

Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Nakuona blaza meno 32 yote nje.. Maana umeripoti kwa furaha mno
 
Naumia Sana kuona government yangu Ina poteza muda na pesa kutunza gaidi,huyu alitakiwa tuwe tumeshamkutanisha na Israel mapema sana
 
Gaidi Mbowe na genge lake wana sifa za ukigeugeu, tuwazoee tu.
Wakati mwingine mtumie akili nyie mafisi,maharamia wa kijani,ilistahili nyie mwuitwe magaidi sio hugo wa kubambikiwa kwa maslahi haramu yakakikundi fulani.
 
Mungu yupo nami , sio KWA mapenzi yangu ,ila yeye Alie niita, sio mchungaji ,Sina kanisa,ila amekua mwaminifu kwangu siku zote, so I speek with confidence maana kabla hamjatenda nayaona ,mnaelekea shimimoni, asema BWANA ,
naona umeshaanza kumwabudu dj, mtoleeni na sadaka basi.
 
nenda kwa mwanasheria yeyote uliza "remedies za judicial review" ie. habeas corpus, quo warranto, prohibito, mandamus, procedendo, and certiorari.
Sijasema hakuna hizo remedies ila nimezungumzia utekelezaji wake hayo maneno ya kilatini sio utekelezaji na wewe unaonekane ndio walewale tu
 
Back
Top Bottom