Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Mbwa wa kijani wamejazana hapa, shangilieni Leo, furahini! Zamu inakuja tena kama March 2021

Hiyo zamu itamkuta kila mtu, anayetangulia hazibi nafasi ya anayefurahi kutangulia kwake

Rest well our hero JPM utabaki Mwamba na rais wa karne
Rest well Maalim Seif utabaki kuheshimika kama mwanasiasa bora wa upinzani usiyekata tama
Rest well John Kijazi mhandisi mahiri
Rest well Mfugale
 
We jamaa hauko sawa unazungumzia vitu ambavyo ukiambiwa uprove huo ugaidi utatoa macho
Utajuaje kwamba siyo Gaidi? Unataka mpaka aanze kulipua mabomu ndiyo ujue alikuwa Gaidi?

Hebu tuwe watulivu kipindi kesi ipo mahakamani. Mahakama ndiyo chombo pekee itakayotoa maamuzi ya ama ni gaidi, ama siyo gaidi.
Ila mwambieni kaka aachane kabisa na tabia za ugaidi, ama zinazoashiria ugaidi. Hii nchi ni ya kidemkrasia, afuate misingi ya sheria na kanuni atafikia malengo anayotarajia
 
Kwenye hili nasema hapana, hapana, natofautiana sana na samia na serikali yake, kwenye hili hapana. hatua za haraka zinahitajika kuchukuliwa dhidi ya serikali hii.
Tundu Lissu na John Mnyika hiki ni kipimo cha uongozi wenu na umakini wenu kwa chama.
Kesi hii itamfanya mwenyekiti Mbowe akae mahabusu miaka na miaka. je chama kinachukua hatua gani dhidi ya serikali dhalimu kuwahi kutokea nchini kwetu?????
Tundu Lissu na John Mnyika itisheni mkutano mkuu wa chama , from there tekelezeni yale mtakayokubaliana, kuitangazia dunia tu kwamba serikali ya huyu mwanamke ni serikali ya kidkiteta hakufanyi mwenyekiti atoke.
Wamiliki wa club siku zote ni majambazi, kifupi jamaa yenu CCM wamemlinda muda mrefu sana ila hana adabu na shukrani
 
Atakuwa aliongea kwa hasira. Kesi za kutunga kama hizi zina maudhi yake. Hata akina Mandela walitumia lawyers.

Anyway, hii kesi itajifia yenyewe tu.
mandela na hii issue ni tofauti kabisa, wala usichanganye. mandela alikuwa kwenye apartheid, cdm mpo kwenye vyama vingi mnaruhusiwa hadi kuwa na mikutano ya ndani (mama alisema), matokeo yake ninyi mkamwona mpole mkaanza kuleta fujo na njama za kumzengua, matusi kibao (mdude na mbowe), ishini mkijua kuwa nchi hii sio ya wanachadema peke yake, kuna watu wengine wenye mawazo tofauti na imani tofauti na ninyi ambao pia mnatakiwa kuyaheshimu kama kweli nini ni wanademocrasia. hivyo mnapofanya yote hayo jueni kuna watanzania wengi tu hawayataki na serikali ina wajibu kuwawekea mazingira mazuri ya kuishi hao nao pia kwasababu ninyi ni fungu mojawapo tu la watz walio wengi, na hamuwakilishi watz wote.
 
Tundu lisu alisema kwamba hamtajisumbua kwa lolote, sio kwa dhamana ya polisi, wala kupeleka wanasheria wenu. haukumsikia, na alipokuwa anaongea hayo alikuwa ubalgiji anakunywa bia. anawaingiza chaka na nyie mnakubali. sasa ulitaka polisi wafanyeje wakati mwanasheria/msemaji wenu katoa kauli hizo na kweli hakuna mnachofanya? au unamkana Tundu? halafu, ishini mkijua kwamba kuna serikali hapa nchini, hatuishi kama wanyama wa mwituni kila mtu anafanya anachotaka.
Sawa.

Amandla...
 
Acha ujinga wewe jamaa na huyo Mungu wako uliyeletewa na wazungu, huyo Lord wako unayesema katengenezwa na waroma, wakamvesha na jua kichwani ili waendelee kuabudu jua lao juu ya kichwa cha huyo lord wako
Bishana nae huyo bwana.Ila nakushauri usimchambue Mungu kibinadamu ya upeo wako.Uwe unamwamini au humuamini kama Mungu yupo
 
mandela na hii issue ni tofauti kabisa, wala usichanganye. mandela alikuwa kwenye apartheid, cdm mpo kwenye vyama vingi mnaruhusiwa hadi kuwa na mikutano ya ndani (mama alisema), matokeo yake ninyi mkamwona mpole mkaanza kuleta fujo na njama za kumzengua, matusi kibao (mdude na mbowe), ishini mkijua kuwa nchi hii sio ya wanachadema peke yake, kuna watu wengine wenye mawazo tofauti na imani tofauti na ninyi ambao pia mnatakiwa kuyaheshimu kama kweli nini ni wanademocrasia. hivyo mnapofanya yote hayo jueni kuna watanzania wengi tu hawayataki na serikali ina wajibu kuwawekea mazingira mazuri ya kuishi hao nao pia kwasababu ninyi ni fungu mojawapo tu la watz walio wengi, na hamuwakilishi watz wote.
Sawa.

Amandla...
 
Muda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.

UPDATE:

TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .

Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.

Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.

Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .

Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje

=========
UPDATE:

Kwa mujibu wa Wakili Kibatala, huenda Mbiwe ameunganishwa kwenye kesi hii 👇🏾

View attachment 1869224
View attachment 1869223
View attachment 1869225
View attachment 1869226
View attachment 1869229
View attachment 1869227

View attachment 1869228
hii ni trick ya ccm kumzorotesha mbowe gerezani/mahabusu ili kupooza vuguvugu la kudai katiba mpya
 
Wacha tuthibitishe ugaidi kwanza pasi shaka ili mwendo uwe mwepesi

Wacha tuthibitishe ugaidi kwanza pasi shaka ili mwendo uwe mwepesi
Mama D najua hu smart, Sana , ila Zungumza na Mungu wako , mh Mbowe na UGAIDI ni wahongo, ebu KWA imani YAKO amka usiku wa leo saa 9, na dakika 47 , Kama kweli upo na Mungu ,tulia takika 15 then wakati huo muombe Mungu akupe tafakari ya taifa Hili , utaweza Kama upo na Mungu na hutoweza Kama hauna, ila ukiweza ,nasema ipo siku utanishukru badae ,thanks mama d
 
Hiyo zamu itamkuta kila mtu, anayetangulia hazibi nafasi ya anayefurahi kutangulia kwake

Rest well our hero JPM utabaki Mwamba na rais wa karne
Rest well Maalim Seif utabaki kuheshimika kama mwanasiasa bora wa upinzani usiyekata tama
Rest well John Kijazi mhandisi mahiri
Rest well Mfugale

Sawa.

Amandla...
 
Mbona mnashangaa sana Mbowe kushatakiwa? Hakuna mtu mwenye crime history ndefu kama Mbowe ila mfumo ulikuwa unammezea tu. Miaka ya 1985- 1990s alikuwa ni drug trafficker. Kuanzia 1990 amefanya biashara kwenye nyumba ya NHC kwa kutapeli mpaka 2016 Magufuli alipovunja Bilcanas.
Kwani humshitaki kwa kosa hilo? Acha maneno ya kusimuliwa.
 
Hebu tuelekeze hapa kwa lugha rahisi na kwa ufupi ili tukuelewa.aksante
unatakiwa kuleta fee, hakuna mwanasheria anayekupa huduma ya sheria bure, ndio maana nimekwambia consult your lawyer. heshim tasnia za watu tafadhali. ndio maana tunaitwa learned brothers and sisters.
 
Utajuaje kwamba siyo Gaidi? Unataka mpaka aanze kulipua mabomu ndiyo ujue alikuwa Gaidi?

Hebu tuwe watulivu kipindi kesi ipo mahakamani. Mahakama ndiyo chombo pekee itakayotoa maamuzi ya ama ni gaidi, ama siyo gaidi.
Ila mwambieni kaka aachane kabisa na tabia za ugaidi, ama zinazoashiria ugaidi. Hii nchi ni ya kidemkrasia, afuate misingi ya sheria na kanuni atafikia malengo anayotarajia
Sijasema ni gaidi au sio gaidi ninachosema tuwe na ushahidi wa kudhibitisha
 
unatakiwa kuleta fee, hakuna mwanasheria anayekupa huduma ya sheria bure, ndio maana nimekwambia consult your lawyer. heshim tasnia za watu tafadhali. ndio maana tunaitwa learned brothers and sisters.
🤣🤣
 
Mama D najua hu smart, Sana , ila Zungumza na Mungu wako , mh Mbowe na UGAIDI ni wahongo, ebu KWA imani YAKO amka usiku wa leo saa 9, na dakika 47 , Kama kweli upo na Mungu ,tulia takika 15 then wakati huo muombe Mungu akupe tafakari ya taifa Hili , utaweza Kama upo na Mungu na hutoweza Kama hauna, ila ukiweza ,nasema ipo siku utanishukru badae ,thanks mama d
shida yako askofu mwamakula ni kwamba hata Mungu mwenyewe huna, kwanza kanisa lako lenyewe linashabikia ushoga, na wewe pia una connection za UK na wanakufurahia. achana na nchi yetu.
 
Back
Top Bottom