Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Aanze na wewe kwanza!Mungu muondoe na huyu mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanze na wewe kwanza!Mungu muondoe na huyu mama.
Kwahiyo magaidi wote tuwe tunawasubiri kwanza wanaita waandishi wa habari kuikosoa serikali ndio tunawakamata?Kwani wewe unajua Nini mkuu. Akikosea Mbowe sio kosa. Eti are they seriously going on with it? Who are these „THey. „
Mdude Nyalali ndo nani? Mtoto wa Jaji Francis Nyalali?Hamna aliyekaa kwa kutulia. Usijidanganye kwenye hilo. Hiyo mamlaka itakayo mtafuta Fundi Mchundo kuhusu nafasi ya Mdude Nyalali katika Chadema itakuwa haimtendei haki. Lakini sitashangaa maana tushavuka rubicon.
Na kwa vile tumeishia kwenye vitisho naona tusiendelee na mjadala wetu.
Amandla...
Mkuu ni wewe? Au umepiga matingas.Mbona mnashangaa sana Mbowe kushatakiwa? Hakuna mtu mwenye crime history ndefu kama Mbowe ila mfumo ulikuwa unammezea tu. Miaka ya 1985- 1990s alikuwa ni drug trafficker. Kuanzia 1990 amefanya biashara kwenye nyumba ya NHC kwa kutapeli mpaka 2016 Magufuli alipovunja Bilcanas.
Mdude Nyalali ndo nani? Mtoto wa Jaji Francis Nyalali?
Heshima?Mama ukimalizana na mbowe mgeukie huyu nguchiro anaeitwa heshima,ondoa taka taka hiyo kabisa
hata kwa Sabaya?Polisi wanatumika vibaya mpaka inastaajabisha!!
Mahakama ikiwa uwezo sasa inasomaje mashitakaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi.
Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Tulimanjwa Majigo amesema kuwa Mbowe anaunganishwa na Washtakiwa wengine watatu waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka mengine yote ya ugaidi wanayodaiwa kuyatenda mwaka 2020.
Katika kosa la kwanza, Mbowe anadaiwa kula njama ya kutenda kosa hilo kati ya Mei na Agosti 2020 akiwa katika Hoteli ya Aishi Mkoani Kilimanjaro, kosa la pili la Mbowe ni kutoa fedha kwa ajili ya kufadhili ugaidi kinyume cha sheria ya ugaidi kati ya tarehe hizo tajwa.
Baada ya kusomewa maelezo Mbowe hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka.
Kesi imeahirishwa hadi Agosti 5, 2021 na upelelezi umekamilika ambapo zinasubiriwa nyaraka ili ihamishiwe Mahakama Kuu
,Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Mdude Nyalali ndo nani? Mtoto wa Jaji Francis Nyalali?
Sio uishie nyuma ya keyboard, hebu tupe direction tuje tukutanie kwako mkuu.Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Karibu Sana mkuu, nipo katika moja ya vyuo vya Police ila kwa kesho nitakuwa safarini DodomaSio uishie nyuma ya keyboard, hebu tupe direction tuje tukutanie kwako mkuu.
Kesi ya Sabaya ilianzia kwa Mwenyekiti wako wa Chama baada ya kumsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi! Takukuru wakamshikilia kwa muda, kabla ya hiyo michakato mingine kuendelea.hata kwa Sabaya?